Recent content by Haji Salum

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yote yameelekezwa baharini

    Baada ya muda si mrefu mtasema "Nafuu hata utawala wa kikwete". Huyo Magufuli ambaye hata hajui mikataba ya gesi ikoje na ni ya akina nani, utawala wake utakuwa ni kituko!
  2. H

    JamiiForums Tanzania The Catholic Church: The biggest Financial power on Earth

    The Catholic Church is the Biggest Financial Power on Earth Have you ever wondered how wealthy the church really is? In his book, ? The Vatican Billions ?..... http://humansarefree.com/2012/03/christian-church-is-biggest-financial.html Have you ever wondered how wealthy the...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Bungeni 2015-2020.

    Magamba na propaganda uchwara! Hebu timizeni ilani yenu ya uchaguzi acheni wapinzani waendeshe mambo yao wenyewe.
  4. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msichezee amani ya Tanzania, angalieni sababu za nyie kushindwa

    CCM ni wezi wakubwa!
  5. H

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Kikwete azindua Uwanja wa Ndege za kivita Morogoro; Mkuu wa Majeshi ahudhuria

    Wameishamsaidia kuondoa sumu mwilini?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    Mbinu ya mwisho kabisa waliyo baki nayo CCM ni wizi wa kura na kukwapua ushindi kwa nguvu. Lakini wajiandae kwa machafuko yatakayowaanya waishie "The Hague".
  7. H

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze sasa alipo Mkuu wa Majeshi, tuna haki kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya nchi

    Wewe ni mkewe nini!!? Mbona povu hivi?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

    Tatizo sasa hivi JWTZ wanatumika kisiasa, tofauti na enzi za Nyerere ambapo JWTZ lilikuwa jeshi strong barani Africa.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Top 10 Aiports chafu Afrika: Dar es Salaam inashika nafasi ya nne

    Worst Airports in Africa 2014 Africa has a reputation for having some of the worst airports on the planet and, to be honest, it's easy to see why. In this year's survey, voters were quick to submit stories as they relate to unfortunate airport experiences across the continent...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hii You Turn Inatia Shaka

    Wameanza kung'amua kwamba Lowassa ndiye rais! By the way, mtu mwenyewe wanayemtukana wala hata hana muda wa kuwajibu
  11. H

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini: Sifa kuu nne za mgombea ambaye atakuwa Rais wa nchi

    Safari hii hajatuambia ni nani chaguo la Mungu?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Salaam ya lowasa yawa kivutio.

    Kura zote ni kwa ukawa... Ccm hawana jipya! Ni porojo na ulaghai uleule miaka nenda rudi.
  13. H

    JamiiForums Tanzania NCCR - Mageuzi Waongea na vyombo vya habari, Wamjibu M/Mwenyekti na K/Mkuu wake

    CCM mwaka huu mtasumbuka sana bila mafanikio!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wangekuwa na Kumbukumbu CHADEMA Wasinge Piga Kampeni

    Kura zote kwa Lowassaaaaa!!!! MENGINE BAADAE!!!!
Back
Top Bottom