Automatic transmission ya gari aina gani yani Model pili Year of Manufacture 2000-2005
Kitu Kama hicho jingine Automatic transmission ya Kawaida na ya umeme Yani Electronic
Transmission hii hutumia electronics selonoid ili kujua inamatatizo gani lazima utumie Computer
Kitaalam Diagnositic Tool...
Ziwa Nyasa lipo Malawi Hakuna ubishi kuhusu Hilo mambo yote yako
Kwenye mkataba wa Holigoland wewe Tafuta huo mkataba Google
Utapata ukweli wote hamna sababu za kisiasa kwenye jambo la mkataba
Treaty hii ni ya 1886 Sasa leo mnaleta siasa rudi nyuma kidogo tu Zanzibar na Tanganyika
Mkataba wa...
Mzee TupaTupa ukweli yale malipo ni Mali ya IPTL lakini,Viongozi wakubwa Serlikalini waliuhujumu mfumo wa malipo hayo,ili waweze kuiba Fedha iliyokuwa kwenye Account ya Escrows- Mfumo wa Serikali ya chama cha mapinduzi Rais ni mwenye mamlaka yote,
Hata wahusika wanaonyesha dalili zote kwamba...
Mama huyu ni mwizi mkubwa Kama msaada wakweli angeupata umoja wa mataifa ,maana hata
Serikali za Dunia nzima huchota huko sasa huyu bi kizee anatufanya sisi wajinga ni aibu
Ilikuwa umoja wamataifa ha kurudi na Dollar 50,000/- leo hapa Bongo kaokota Dollar million moja bila jasho
Hata boss wake...
Hapa Tanganyika Haina Ziwa ila Malawi ndiyo wamiliki Halali.
Ukitaka ukweli lakin ubabe hauna nafasi sasa Kama ubabe basi hata Rwanda na Burundi ni Mali yenu
Mona sijasikia kudai Mechukua Zanzibar mpaka leo Matatizo hajesha Tamaa mbele mauti nyuma
Fanyeni KAZI Tanzania Ina kila kitu lakini...
Ndugu uchawi ni somo kubwa sana linahitaji mtu mwenye ufahamu mkubwa sana,pia uchawi una madaraja
mengi sasa nitakusaidia kujua hayo madaraja ili uweze kujipanga utakuwa daraja lipi.
daraja la kwanza ni uchawi wa Kitabu
daraja la pili ni uchawi wa mawe
daraja la tatu ni uchawi wa wanyama...
Bikira Maria jina la mama yake na Mungu si ndivyo? Hapana mama yake na Yesu si ndivyo?
Hapana mke wa Joseph si ndivyo? Hapana mchumba wake Joseph si ndivyo?
Sasa hapa waumini wa biblia sidhani Kama kuna mtu ambaye hajui kusoma na kusoma maana yake usome kilichoandikwa baadaye kuna maswali na...
Very Good sasa kweli wakristo mna Amka ingawa itawachukuwa miaka mingi,
Kuelewa Kuwa hawa manabii na Mitume wenu ni Matapeli wakubwa na Baadhi ya watu wenye
Madaraka wana wafagilia Kuwa ni kweli wana uwezo huu na ule pia ni watengenezaji wa mashuhuda Feki hasa Akina mama na madada wenye misukumo...
Very Good sasa kweli wakristo mna Amka ingawa itawachukuwa miaka mingi,
Kuelewa Kuwa hawa manabii na Mitume wenu ni Matapeli wakubwa na Baadhi ya watu wenye
Madaraka wana wafagilia Kuwa ni kweli wana uwezo huu na ule pia ni watengenezaji wa mashuhuda Feki hasa Akina mama na madada wenye misukumo...
Watu wengi wana fikiri kwamba shule
Ni secondary au chuo kikuu huo ni
Utaratibu wa kima daraja lakini Elimu
Kubwa ni Shule ya Msingi yani Darasa la Saba hata hesabu ipo wazi
Elimu ya Msingi Miaka 7
Secondary Miaka 4
High School Miaka 2
Chuo Kikuu Miaka 3-4
Sasa 7 Ndiyo Kubwa kima hesabu...
Wana jamii forum pro kitila mkumbo Hana usomi wowote Mimi sina shada lakini jamaa huyu
Hata Mimi namshinda kwenye kila Nyanja ya Elimu kuhudhuri Chuo siyo ishara ya kwamba wewe ni misomi hawa maprofesa wa bongo hata kuandika vitabu hawa wezi ila
Ni mabingwa wa kutaka sifa kwa viongozi na mademu...
TB ni Nabii Tapeli mkubwa huhitaji shahada Kama yeye ni Nabii mbona kashindwa ku jus jengo lake linge a nguka n a kuua wafuasi wake jamani hivi mtatapeliwa mpaka lini muweze
Kuamka na kukiri kuwa sasa basi Imani hizi z a upofu ni hatari
Endeleni kuwa sifu manabii wasio na ukweli wowote
Poleni...
Heeee Jamani Somo Hilo ni gumu sana kwenu maana pamoja na English Zenu,
Engine hizo mbili ni vitu viwili tag auto kabisa vvt I 4 D 4 wapi na wapi 1 g zipo nyingi
Model hizi huendana na matoleo tafauti huku Diesel na Petrol zikishindana kwa unorganized wa matumizi likiwemo Hilo la Emission...
Hakuna katiba mpya c c m ni chama kilicho kosa Dira miaka mingi iliyopita, leo wanakuja na sera ya katiba wapi na wapi
Hawa jamaa wa Tanzania wengi hawa wajui. Vizuri nanza na kila uwongo Walio simamia Toka Uhuru Hadi Leo
1) Wataondoa Ujinga na Umasikini na Maradhi mpaka kesho hakuna lolote
2)...
Kwakweli mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kupata jibu tafauti na Hilo,
Mh,Ali Karume Baba yake kapindua serikali Halali ya Zanzibar sasa Serikali,
Tatu kwake kiwewe Ana hofu ya kustakiwa yeye na Ndugu yake mauaji ya tarehe 27-
Zanzibar na mambo mengi Kama yanayo wakuta watoto wa Muhammad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.