Recent content by Haji Mashaka Nassoro

  1. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wajita hawaui nyoka aina ya kifutu? Bado wanaamini katika nyoka hao?

    Kifutu hana noma labda umkanyage kwa makusudi
  2. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Morogoro iko poa sana maswala ya msosi
  3. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

    Trafiki hovyo kabisa mida hiyo wanabadilishana shift wanawaza maokoto na kubambika makosa Kisha kurusha kwenye TMS. Juzi walinipiga cheti eneo la Ngomeni Tanga kosa la kutembea 55kph badala ya 50kp imeniuma sana hela ya kula wanangu.
  4. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Askari usalama barabarani tumieni busara

    Dereva ame-over speed 55kph badala ya 50kph unampiga cheti kisa hajakupa ya ku-brush viatu hiyo ni laana ndomana mki-retire hamchelewi kuvuta box.
  5. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Kampuni zinazotengeneza mitungi ya gesi hapa kwenye hichi kifuniko mnatesa wateja

    Hiyo seal ikitoka kiulaini ujue huo mtungi umepigwa na wazee wa kuchakachua
  6. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Vita ya kiuchumi noma sana. Biashara ya sembe ni vita ya kiuchumi.
  7. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabasi ya NewForce na Sauli hatari, kila mmoja anataka kukaa mbele kivyovyote

    Sauli, New Force, Msigwa ligi ya kufukuzana matakoni bado hawajakoma. Saa 12:45 asubuhi Morogoro kwenye kituo cha Daladala Mafiga wanapita speed ya kufamtu bila kujali Zebra pumbafu zao.
  8. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Video: Pamoja na lawama kwa bodaboda, kwanini Junction ya mwendokasi Kisutu haijawekwa taa za kuongoza magari mpaka leo licha ya kuwepo ajali nyingi?

    Bodaboda kajilipua tatizo la Boda ni kutochukua tahadhali kwenye junction hata kama yupo major road hawaangalii safety first
  9. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Kugongana kwa mabasi Sauli na New Force lilikuwa jambo la Muda tu

    Masuka wa Sauli, New Force, Super Feo, Msigwa mavi yao wote wanafukuzana kipumbafu sana. Saa 12:45 asubuhi huwa wanapita kwenye mataa ya Morogoro wanafuata matakoni kama siafu. Mamlaka husika nyang'anya Leseni hao Masuka waliosababisha ajali kwa kufuzana matakoni kama siafu pumbafu zao. Sent...
  10. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa abiria wa Bodaboda; Usipande bodaboda kama...

    Mtindo wa kung'oa side mirror wenyewe wanaita kujilipua
  11. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya mashirika ya kikristo yanayotoa huduma mbali mbali kwa jamii zote duniani

    TCRS: Tanzania Christian Refuges Service
  12. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumeishinda kasumba ya kushindia mkate kama chakula kikuu

    8. Kaukau 9. Sambusa 10. Kababu 11. Bagia
  13. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ucheleweshwaji wa mikopo ya pesa za kujikimu (boom) kwa Wanafunzi wa Chuo

    Boom kuchelewa that's too much SUA wenye akaunti CRDB wameshalamba isipokua NMB bado hali ni mbaya madent wakienda utawala kuuliza wanajibiwa mbovu wengine wamesepa zao
  14. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Full charge inatembea km 60 alafu speed mwisho 50 hiyo Batavuzi ya kuchezea watoto. Boxer chuma ya kazi.
  15. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada Luxury Buses kutoka Dar kwenda Kigoma

    Luxury buses hamna kuna Semi luxury inaitwa Adventure
Back
Top Bottom