Recent content by haji amani mboriko

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Batholish Cyst

    Kujua tatizo ni hatua nzuri
  2. H

    JamiiForums Tanzania Sakata la mchanga wa madini

    Huu sio muda wa malumbano mkuu kajitoa mhanga kupata pakuanzia.Tutafute ,tumsaidie tuweze faidika na rasilimali za nchi. Sio wakati wa kutafuta mchawi.Tukianza tafuta mchawi waliokua mawaziri,wanasheria na wabunge wote tangu mwaka 1998 hawachomoi ni mtazamo tu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM Kata Ya Bungu, Kibiti auawa kwa kupigwa risasi

    Serikali ijiongeze itafute chanzo why always viongozi? Lazima kuna uonevu uliojificha vinginevyo wangeua RAIA wakawaida
  4. H

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuongeza mbegu/manii kwa wanaume

    Matunda ,Maharage,mayai has a kiini,mboga mboga.Katanga,mihogo,korosho sio kweli wewe sio daktari.ulivyo visema inaongeza mafuta na wanga.Proteins kukinga,kurutubisha na kuzalisha
  5. H

    JamiiForums Tanzania Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

    Raundi ya 5 na 12 iangalie yote
  6. H

    JamiiForums Tanzania Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

    Duuh huyu myukrane kaona cha moto raundi ya 5 naya12
  7. H

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Hassan Mwinyi akiwa kwenye Sherehe za Uhuru wa Kuwait leo hii

    Yaani inasikitisha Kama huna la kuongea kaa kimiya
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hili la Diamond Kutumbuzia AFCON

    Mm naona kama haijakaa vizuri, kwa hiyo akipanda jukwaani kuimba ndio Bendera itawekwa?
Back
Top Bottom