Rais Mstaafu Hassan Mwinyi akiwa kwenye Sherehe za Uhuru wa Kuwait leo hii

Zawadi ya Wanyama ambao wanapatikana Nchini kwetu kama ndio zawadi toka Arabuni Jangwani ni dharau kubwa sana... Bora angewepewa picha ya Tende au Shisha Original
 
Picha inaonyesha nyumbani nyumbani labda baada hapo wakaenda Hyatt sasa baada ya keki.......
Mtoa topic muongoooo . Ame copy na ku paste picha...lakini inaonekana hajui kusoma.
Nilikuwapo kwenye sherehe na hazija fanyika oysterbay. Hizi zimefanyila Hyatt Kilimamjaro Hotel.
rekebisha habari yako
 
Picha inaonyesha nyumbani nyumbani labda baada hapo wakaenda Hyatt sasa baada ya keki.......
Nop... hapo ni Kibo Hall ...walipamba upande mmoja kuweka sofa na keki ilikatwa baada yahotuba mbele ya wageni...
 
Mtoa topic muongoooo . Ame copy na ku paste picha...lakini inaonekana hajui kusoma.
Nilikuwapo kwenye sherehe na hazija fanyika oysterbay. Hizi zimefanyila Hyatt Kilimamjaro Hotel.
rekebisha habari yako
Mlikula pilau eeh!
 
Back
Top Bottom