Recent content by hajhmamba

  1. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zinakomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

    Ukiliangalia kwa macho mapana baadae itakuja kupigwa marufuku suala ya ndoa baina ya mwanamke na mwanaume, ili natural birth isitake over kwa kigezo cha kubalance population. Then zitatengenezwa android bots kwa ajili ya kuzalishia watoto ambao watakua ni semi human kitakachofuatia ni loss ya...
  2. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hongera wengine tumetoka huko baada ya kuachwa mikono kichwani kidogo tunapumzisha akili japo kina aserno wanazingua lakin pesa ya vocha inapatikana kuliko huko uliko huko ni upepo wa kisulisuli ukienda na ww utajiona ww bingwa ngoja ubadili uelekeo unaweza zani kuna mtu yupo anasubiri...
  3. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Liweke mkuu tupite nalo
  4. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kuna wakati unataman ungekua kocha ww upange kikosi
  5. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndugu yangu matumiz ya kesho nimempa aseno ashinde
  6. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aisee nimepanda treni la kwenda mumbai badala ya zambia #yaani hata saa moja bado mikeka 7 imeshachanika kanji kanilaza nje leo #Cjui wife atanielewa
  7. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeendaka wall link nimechagua vyuma kadhaa wa kuweka kwenye treni langu natuma kabla mechi haijaanza ili baadae tumalize utata kua ni kweli au uongo
  8. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mungu saidia
  9. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Chelsea umezingua kinyama
  10. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Hizo za mwanzo nimeshapractice zaidi ya hapo kumenisababisha kichwa kikawa kinavibrate kwenye paji la uso yaan xipati hata faida yake nataka higher level maana hizi ndogo zinatisha
  11. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Mkuu hizo astral projection nimejaribu lakini kila siku sifanikiwi nimesoma vitabu kama kumi na kitu nimejaribu kupitia video mbalimbali imeshindikana xaxa naona bora nitafute mwalimu maana namajambo yangu nataka niyafatilie Kuhusu hao watu ulionitajia mkuu kuwapata kwa majina tu ni ngumu mkuu...
  12. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Mkuu hayo mnayoongea vyuo vyake viko wap tunataka elimu hiyo sisi
  13. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Mkuu mi nataka kama zile za kutoka unaenda kuzimu kutembea unarudi nyuma ya muda au unaendaxmbele ya muda kama zipo nahitaji mwalimu mkuu
  14. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Mkuu nikutafute tuzungumze kuhusu hayi makitu nayapendaga sema sijui nianzie wapi
  15. hajhmamba

    JamiiForums Tanzania Root

    [COLOR/]=#000080Wx3 hiyo hairootiki nimejaribu mpak nieacha tu ukiweza ntumie na mm software Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom