Duh hicho kitengo cha kunyoa sasa sisi wavulana wenye rasta vipi? Na hatuvuti bangi wala kunywa hayo mapombe yao! Ni maji na Agano la Kale tu. Tunafanyaje sasa hapa mkuu
Mjulisheni na ng’ombe zisizo za miguu kwa sasa ni shilingi ngapi thamani ya ng’ombe mmoja! Last time dada yangu ameolewa ilikuwa ng’ombe 16. 10 za miguu (really cows) na 6 zilikuwa za hela (cows converted to money) so that time ng’ombe mmoja ilikuwa ni elfu hamsini - therefore ng’ombe unazotaka...
Uwepo wa Jamii forum unanifanya niamini Mungu kweli yupo! (At the same time uwepo wa ma-zero critical thinkers ndani ya Jamii forum unanifanya niamini kweli Shetani yupo)
Hao dawa yao scandnavia kuwaolea mabinti zao tu. Ukiwa alone alone utakuwa very lonely and frustrated. Chukua binti yao piga mimba maisha yanaendelea, ukiwa nae barabarani hawatakubagua sana kama ukiwa alone! Ukishavuna vyako rudi bongo! Kwisha habari
Ndiyo mkuu ni maskani wa Mali lakini sio masikini wa Roho! Niliwaona ni watu wastaarabu sana ndio maana watalii wengi! Watz sisi tunaustaarabu wa kinafiki kwa wageni! Ujanja ujanja mwingi na wezi tunao wengi sana kwa wageni
Wakuu huu uzi sijui mi ndo slow leaner au kuna watu wana speed zaidi ya light katika kusoma au walikuwa wanavijua hivi vitu before? Anyway sikati tamaa na sitaki kuchanganywa naendelea kujinoa and hopeful nitakuwa bongo muda wa training ya Ontoria.
But wakuu sijawahi sikia humu ndani mtu...
Very Very Very good idea mkuu Ontorio. Just ushauri app itakapotengenezwa zimu zote ziweze kusuport maana nimeona app nyingi zinazotengenezwa na vijana hazisupport kwenye iPhone. Asante
Nimekaa Denmark kama taxi driver miaka minne. Kule ukipata chance ya kwenda we nenda kafanye kazi za kufunga mabox au kusafisha kiwanda kimoja cha nguo kipo Hedeslev unapiga laki tatu kwa siku japo kodi ya nchi ile ni kubwa 47% lakini bado unabaki kama na kilo mbili hivi. Ila uwe sio mzembe...
Wewe na mimi hatupishani. Kadegree kangu kamoja tu wategemezi kibao siishi kwa raha mjini kila saa simu za kuombwa hela tu. Nimeomba scholarship Norway China na Sweden. Zikigoma naenda kujisomesha. Mwaka jana nilipata chuo ila nikawa nategemea mpaka scholarship....sasa mwaka huu nikikosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.