Recent content by Haidal

  1. H

    Bet

    Ku BET Inaamana gan
  2. H

    Jini Mahaba

    Jaman ndugu zangu JF naomben msaada nna mpenz wangu ambaye nampenda sana ila mara nyingi nkikutana naye huwa kisiran sana namuuliza n tatizo ananijibu jeuri na kuna wakati ananiambia kuwa c yy bal anahic kwamba anajini mahaba ndo anamfanya awe ivyo Naitaj msaada wenu wana JF.
  3. H

    Urefu

    Ata uwe mrefu vp uwez kuiyona kesho.
  4. H

    Love

    Nilaumu kipi kati ya MACHO yangu yaliyokuona au MOYO wangu uliokupenda.
  5. H

    Tujikumbushe vitabu vya zamani

    Tola anakula gizani. MUWA ULIZA MISHA MELI.
Back
Top Bottom