Recent content by hahoyaya

  1. H

    JamiiForums Tanzania Wana wa bunda

    Musa wa A& B?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCm waliotia sahihi maisha yao hatarini.

    lugola asikutishe huyo mbwa,na kama haamini afanye anachoweza halafu aone tunajuwa anapoishi na ndg zake tunawajuwa na ajaribu aone.Mkama kumbe mjinga sana!
  3. H

    JamiiForums Tanzania I am flying without wings

    Enjoy it while it lasts!!!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Woman alleges long affair with Cain

    extramarital affairs, like any other wrongdoings, have consequences!!!!!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hawa Tigo wataacha lini huu upumbavu

    Hawa Tigo ni majizi wakubwa juzi wamenikata 1132 bilasababu,Tigo ni vibaka.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

    Kinyesi si mwiba, lakini ukikikanyaga lazima uchechemee.Kupuuza maoni juu ya muswada huu kikwete umekanyaga mavi.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    Hizi sera za kikwete za kutesa kwa zamu zinatupelekea kubaya.Hii serikali ya ccm inatudharau sana wananchi,hivi wanajuwa impact yake kweli?
  8. H

    JamiiForums Tanzania CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Wanatoka nchi mbili tofauti Lisu Mtanganyika na hamad mpemba.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbarali (CCM) kwenda jela miezi 10 au kulipa faini

    Hii habari ni yakweli?mana nimesikia jana kwenye chombo cha habari kuwa hukumu imeahirishwa mpaka baada ya kumalizika kwa mkutano huu wa bunge unaoendelea.tunnaomba source yako plz!
  10. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    We una mke au una sokwe tu, wenye wake wala hawasemi mbuzi weye.
  11. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Mpe vidonge vyake fisadi huyo watu wanaongelea ukombozi yeye analeta story za kishoga hapa!achana nae mama.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo John Mnyika anyimwa na polisi kufanya mkutano

    Hapa kuna jambo linaandaliwa kujustfy intelejensia yao,lengo hasa nikuwazuia kabisa chadema kufanya mikutano yao hasa wakati huu wa vuguvugu la KATIBA mpya na huu ufisadi unaondelea kuibuliwa na kamati za bunge.Kwa hali ilivyo sasa serikalini wanaweza kufanya chochote ili kuhamisha mawazo ya...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

    Pole mzee mwenzangu,mungu akuponye haraka uwezekuendelea na shuguli zako.Jamani hiki kifo tunatembea nacho hatujui muda,siku wala saa kinawezatokea,tuombe na kushukuru kwa kila jambo.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

    Umenikumbusha yule bosi aliyeinunuwa Uda ambae ni rafiki wa mtoto wa mkulu,wakati wa uchaguzi wa ubunge mwaka jana kwenye lile jimbo la Shibuda alimpiga ngwala OCD na hakufanywa lolote na alikuwa ni mgombea tu,jiulize sasa ww mbunge unatetea wananchi wako unalambwa vibao,can u imagine?Kigwangala...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wapelekwa gereza la Isanga

    Poleni kamanda, tuko pamoja iko cku watajutia dhuluma yao.
Back
Top Bottom