Mmh yamekuwa haya tena ama kweli ukitaka uifaidi giningi lazima ufuate mdundo wa ngoma ili uendelee kuwepo giningi daima!!kesho yaja nayo ni siku huenda Gondwe ukawa kma yule......
Umeelewa nini kuhusu waombaji wenye sifa linganishi(equivalent qualification)zilizotolewa na bodi husika!!in short hawana sifa y kukopeshwa na serikali y awamu ya tano!!!
Duuu polen sana diploma holders maan hii serikali imeamua kutowapa mikopo waombaji wote wenye sifa linganishi yaan equivalent qualification hii eti ndo serikali tuliyokuwa tunaitaka kwa awamu tatu nyuma!!!we miss you mjomba jk
Kwa walio na uzoefu wa biashara hii ni namna gani ya uendeshaji wake,faida changamoto zake huku mm ni mwanafunzi wa chuo,gharama za fremu,na eneo zuri la kusettle hii biashara hapa Dar ,namna ya kuupata mzigo mzuri .kwa kuanzia na mtaji wa 2.1Mil. Msaada wenu tafadhari wana JF.
Nakumbuka vizuri sana tangazo lao lililohusu kufutwa kwa usaili uliotarajiwa kufanyika trh April 20,tena kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili wa ajila na mtukufu wako,jiongeze mkuu usibweteke
Huyu ndiye watanzania walimsubilia tangu aondoke baba wa taifa hili tehetehe....Endelea kujifungia ndani mtukufu ukisoma report ya maafa ya tetemeko utaletewa report ofisini juu y walichojadili,,hii ndo hapa kazi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.