Recent content by Haemoglobin

  1. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mchaga kusaidia walemavu na yatima ni jambo gumu sana

    Sio kweli mheshimiwa,wachaga wanatoa ajira mamilioni hapa nchini,pia kwenye kulipa kodi ni walipaji wazuri ambayo inatumika kuleta maendeleo nchini,pia ni wachapa kazi haswa
  2. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

    Shikamoo mkuu mleta uzi,wewe ni mchunguzi hasa.
  3. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: TAKUKURU yataja mtuhumiwa wa sare hewa za bilioni 40

    Lakini mheshimiwa waziri alisema sare ziko kwenye makontena..
  4. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Kati ya Tulia Akson na Jenista Mhagama tumuamini nani?

    Kusifu na kuabudu ni jambo jema
  5. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya 44,807 Serikalini zaja 2019/2020, Watumishi 290,625 watapandishwa vyeo, Mishahara mipya kitendawili, Uhakiki kuendelea.

    Sawa mheshimiwa, mwaka wa uchaguzi umekaribia nasubiri ahadi nzuri nzuri
  6. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Polisi saidia kumkatamata bwana huyu kwa kumpa mimba mwanafunzi

    mkuu kwani seeikali imesharuhusu mwanafunzi kurudi shule baada ya kujifungua?
  7. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Polisi saidia kumkatamata bwana huyu kwa kumpa mimba mwanafunzi

    Kama ameshapata mimba utawasababishia binti matatizo sababu itabidi binti alee mtoto bila baba wa kumhudumia,atateseka sana
  8. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Mbunge kukopa kiasi cha milioni zadi ya 600Tzs ndani ya miaka 5!!

    Je wengine madeni yao yakoje mkuu? Je kukopa ni kosa?
  9. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga Marufuku gari zote za abiria kusafirisha vifurushi na barua

    Mheshimiwa biashara huria hamna tena siku hizi?
  10. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Apps 10 ambazo lazima utumie kwenye simu yako

    My must have 1.Lithium for reading books (epub format) 2.Strava for tracking my workouts, Running and Cycling 3.Boom for music and podcast listening. 4.Uc browser.For Internet 5.Anybook. For downloading and reading e-books 6.Day book. for recording my petty revenue and expenses. 7.Cam scannner...
  11. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Sabatho Nyamsenda: Ombi kwa Rais Magufuli; Niteue Ubalozi wa Cuba bila mshahara

    Kila la heri mkuu.
  12. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

    Mheshimiwa ungevumilia tu, hadi uchaguzi mwingine. Kuokoa kodi za wananchi zitazotumika kurudia uchaguzi
  13. Haemoglobin

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunazaliwa masikini na kufa masikini?

    All that happens to a person is the result of subconscious programming from childhood
Back
Top Bottom