Nimehitimu chuo kikuu huria mwaka jana, Vyeti vimetoka mwaka huu mwezi wa tano.
Tatizo lipo kwenye utaratibu wa kuchukua vyeti hivyo. Chuo kimetoa masharti magumu , kati ya masharti ni kujaza fomu maalumu na kwenda kuapa mahakamani au kwa wakili ili kugongewa mhuri.
Kama mnavyojua mahakama...
Unafiki na ushabiki unaongozwa na njaa kwa sasa siyo muda wake.M4Cjb bila shaka njaa na empty brain ndiyo vinavyo kufanya usifikiri vzr na kuanza kuiibu kejeli.
mm namkumbuka sana mzee Pius Yasebasi Mwandu kwa namna alivyosukuma mbele maendeleo ya maswa.Tangu aondoke Pius awamu kadhaa za uwakilishi zimepita ikiwemo aliyekuwa mbunge wa maswa Jidula mabambasi ( CCM), baadaye Shibuda na Kasulumbayi wote wa CHADEMA maswa imepolomoka kimaendeleo.Hii...
Katibu wa klabu ya wandishi wa habari Dodoma ajihudhuru huku akikabiliwa na tuhuma za ubadhirifu wa fedha na mali za klabu hiyo.
Hatua hiyo imefikiwa leo katika kikao cha wajumbe kilichofanyika katika ukumbi wa uliopo katika ofisi ya mkuu wa mkoa.
Hata hivyo baadhi ya wajumbe wa kamati pia...
Katibu wa klabu ya wandishi wa habari Dodoma, Israel Mgusi amejihudhuru rasimi leo tarehe 12 Julai, 2014 wasifa huo baada ya kukaa katika nafasi hiyo kwa takribani mwaka moja.
Hatua hiyo imefikiwa katika kikao cha wajumbe wa mkutano mkuu uliofanyika katika ukumbi uliopo katika ofisi ya mkuu wa...
Jamani hebu mwambieni huyo jamaa atuambie mke wake anaelimu gani na mshahara wake ni shillingi ngapi,ili tuweze kulinganisha na mishahara ya watumishi wengine wa serikali wenye elimu kama yake.Huku tukae tukijua kuwa polisi wanapata huduma ya umeme bure, maji bure,nyumba ya kuishi bure hata kama...
Eti wakuu wa polisi mikoa(RPCs) wanatuma askari kulisha familia! Maneno haya hayaingii akilini kabisa.Mnaojidai wasomi fanyeni utafiti kabla hamjaleta hoja au kuanza kushabikia ulimbukeni humu. Angalieni magari wanaotembelea RPCs,nyumba wanazoishi, ofisi zao, vipato vyao na stahili zao...
kama kuna madaktari feki (yaani wasio kuwa na taaluma ya udaktari) na wanatibu watu, unashangaa nini kuwa na baadhi ya Polisi wasio kuwa na elimu nzuri.Je, ni idara gani ya serikali ambayo watumishi wake wote wana shahada, stahashahadada au cheti? Mimi naona kuanza kuwakashifu askari polisi ni...
Inaonekana unaona kinyaa kufua nguo za ndani za mmeo.Je siku yuko hiyo anajisaidia kitandani kitandani utadhubutu kumtawaza akijisaidia kitandani? ww ni bdalili ww si mke mwema mwenye kuweza kuvumilia mme kwenye shida na raha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.