Recent content by Hadji Sihaba

  1. Hadji Sihaba

    Uamsho yaipa serikali masaa 26, vinginevyo...!

    Mabwana dini haiendeshwi kwa kuchinja watu wasio na hatia!! Tena mmemchinja muislamu mwenzenu ,mswalihina, mzanzibari halisi, ametoka kazini anarudi nyumbani, mmempiga mapanga!! jamani wapi ,kitabu gani kinasema muue mtu asie na hatia? Mmepotoka rudini mkaisome qur-aani vizuri
  2. Hadji Sihaba

    PICHA: MGAMBO Kazini KUZUIA VURUGU za DAR... Lakini KARIAKOO KIMYA na PATUPU... SHUHUDIA

    Lakini mgambo ni jeshi ambalo wakati mwingine hawana busara, kila aliyekatiza mbele yao alikula mabuti tuu, hata wasiokuwemo walikula kichapo, si kusifia jamani kuna wengine wamekamatwa bila kosa ...
  3. Hadji Sihaba

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Sawa sawa kabisa, TUACHE JAZBA
  4. Hadji Sihaba

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Wale hawana jazba kama zako, ni watu wanajua nini wanafanya, ni viongozi wa kiroho, si tegemei kama watasema walipize kisasi, kwani :SAMAKI AKIOZA MMOJA, WOTE HUOZA!!
  5. Hadji Sihaba

    Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

    Mtoto akinyea mkoo utaukata? Huwezi, Sisi sote ni Watanzania, tena Tumeoleana Mkiristo kabadili dini kamuoa Musilamu, vilevile wapo Waislamu wamebadili dini wameoa wakristo, sasa haipendezi tufikie hatua ya watu kushindwa kuwa kitu kimoja wakati sisi ni Watanzania, TUTETEE UTAIFA WETU , NAOMBA...
  6. Hadji Sihaba

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Mnaongea sana, wengine mnakejeli sijui waislamu wavivu, hawajasoma, wanalala misikitini tu,wanafundisha elimu akhera, ongeeni mtakachosema lkn. Swali ni Waislamu wanataka nini?
  7. Hadji Sihaba

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Huo ni uzushi !!!! Kama nchi akitawala Muislamu inakuwa haina amani , mimi sikubaliani na wewe, kikubwa ni kujua hawa Waislamu wanataka nini? Kuna mambo kama ya :- 1.Baraza la Mitihani (NECTA) pamekutwa madudu mengi yamefanywa(Sipendi kuyarudia) 2. Waislamu kutaka wao wajiunge na OIC (Wakristo...
  8. Hadji Sihaba

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Dawa ya Moto si moto, ila maji , Serikali ijaribu kutumia njia za amani na za uhakika katika kuamua mambo kama haya, leo Sheikh Ponda kesho Mtikila, hawa watu wanahitaji kupewa elimu ya kujua faida na hasara ya matamko yao,Mimi ni Muslamu lakini tuna mambo mengi ya kufanya katika kuendeleza dini...
Back
Top Bottom