Recent content by habdul64

  1. habdul64

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

    Nabi akienda tunisia mechi ya marudiano asirudi bongo.. Abaki huko kwao
  2. habdul64

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwani muhindi analipa kwa possession au ushindi
  3. habdul64

    JamiiForums Tanzania FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

    Acha maneno vifaa vipo nje. Aziz ki, mayele na
  4. habdul64

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni MC wa kukodi, kwanini akodiwe mtu aliyefungiwa?

    Wakimuomba mkataba wa kuwa mc atautoa au magumashi tu
  5. habdul64

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    [\hi]
  6. habdul64

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Clatous Chama na Feisal Salum

    FEI toto ajitahidi afikie viwango ili tupate wachezaji WA ndani wenye viwango bora
  7. habdul64

    JamiiForums Tanzania Suala la Yanga kutotaka kucheza tarehe 3 julai ni dharau kwa TFF, serikali na wapenzi wa soka

    Hahaha hamna FIFA wala nn hapo. Serikali ni serikali tu. Hivi ishindikane kuingiliwa kwenye mambo ya uchaguzi ndio iwezekane kwenye mpira ah wapi. Huh mgomo ni danganya Toto tu
  8. habdul64

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nashauri utoe namba ya simu ili mawasiliano yafanyike kwa urahisi
  9. habdul64

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni bila kutafsiri na kufafanua wakati lugha ya taifa ni Kiswahili?

    Habari wanajamvi, Naomba kuelezea kero yangu juu ya waandishi wa habari za michezo wa Bongo. Yaani mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni tatizo ni kwamba hatafsiri na wala hafafanui walichozungumza wakati anajua wazi lugha ya taifa ya Bongo ni kiswahili. Je, washibiki...
  10. habdul64

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Je ntaipata kama hii ya 8"
  11. habdul64

    JamiiForums Tanzania Miaka kumi tangu kuhitimu shahada ya kwanza

    Tunashukuru kwa ushuhuda huo..hongera sana..ila ndugu yetu hebu dadavua walau kidogo namna ulivopita hats ukafika hapo ili kusudi hata wengine waliopo kwenye ajira wanawaza kuwa inspired
  12. habdul64

    JamiiForums Tanzania Jinsi Majizzo atakavyomtumia B Dozen

    Dijarlo arungu TBC
  13. habdul64

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Naona story zimeisha kilichobaki watu wanafanya COVER
Back
Top Bottom