Recent content by habariyamujini

  1. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa wazi kuhusu Muungano wa Tanzania kufanyika UDSM 26.04.2017

    Imekaa vizuri, ila muwe mnatoa matangazo mapema
  2. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania TBC: Lipumba akielezea hali ndani ya CUF pamoja na Muungano

    Akiongea kwenye kipindi cha jambo Tanzania mwenyekiti wa CUF prof. Lipumba amesema anasikitishwa sana na hali ya mambo inayoendelea ndani ya CUF na pia amesikitishwa na ubabe unaofanywa na Maalim Seif ambaye hataki kukaa chini na kuzungumza pamoja kama viongozi wakuu wa chama hatua iliyomfanya...
  3. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania Nashauri Maalim Sef na Lipumba mfanye hivi kwa faida ya CUF

    Ushauri mzuri. Tatizo njaa. Seif amekuwa katibu mkuu tangu chama kinaanzishwa...lipumba naye ni mwenyekiti tangu uhuru. Unategemea nini hapo
  4. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania TISS iongezewe nguvu ilinde maslahi ya nchi/taifa

    Tiss wanasemwa sana kwa sababu hawajibu, wakijibu sote hapa tutajificha kwa aibu. Jamaa ni weledi sana wale nawakubali
  5. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania TISS iongezewe nguvu ilinde maslahi ya nchi/taifa

    Hivi kumbe bashite naye ni tiss? Kwa hiyo kumbe mkuu wa mkoa anaweza kuwa tiss
  6. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania Namna pekee ya kuheshimika vyombo vyetu vya dola ni kuvitenganisha na wanasiasa

    Siasa na vyombo vya dola ni vitu viwili tofauti
  7. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania Namna pekee ya kuheshimika vyombo vyetu vya dola ni kuvitenganisha na wanasiasa

    Vyombo vya usalama ni clean
  8. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuweka Jiwe la Msingi Magomeni Kota kesho

    Tuna imani na magufuli
  9. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke alivyotekwa mwaka 2014

    Chadema inanuka damu
  10. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke alivyotekwa mwaka 2014

    Chadema ni genge la wauwaji
  11. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Ripoti ya CAG 2015/16 yawasilishwa, deni la taifa linakuwa kwa kasi ya 20%

    Ndio unune sasa, unadhani magufuli anatafuta kick za kipuuzipuuzi
  12. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa haujadiliwi

    Take care. Your freedom here is limited. You are not free to that extent
  13. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa haujadiliwi

    TISS ni imara sana. Leo kesho na hata kesho kutwa. Huko kujidhalilisha ni uzushi wenu tu
  14. habariyamujini

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa haujadiliwi

    Mleta mada yuko sahihi mia ya mia. Huwezi jadili usalama wa taifa jf wala facebook wala twita.
Back
Top Bottom