TBC: Lipumba akielezea hali ndani ya CUF pamoja na Muungano

habariyamujini

JF-Expert Member
May 16, 2013
3,094
456
Akiongea kwenye kipindi cha jambo Tanzania mwenyekiti wa CUF prof. Lipumba amesema anasikitishwa sana na hali ya mambo inayoendelea ndani ya CUF na pia amesikitishwa na ubabe unaofanywa na Maalim Seif ambaye hataki kukaa chini na kuzungumza pamoja kama viongozi wakuu wa chama hatua iliyomfanya yeye mwenyekiti amuondoe kwenye ukatibu mkuu.

Anaendelea kuzungumzia masuala ya muungano.
 
Hajakamatwa!!!!!!!!!!!?!!!!!!!!!!///////!!!!!!!!Kweli ndio maana watu hujichukulia sheria mikononi!!!Makubwa haya.!
 
LIPUMBA NI KIONGOZI MAHIRI KULIKO WOTE WA UPINZANI.

PROPESA.jpg


HUYU PANDIKIZI LENU?
 
SIASA ZA TANZANIA MPINZANI WA KWELI NI LIPUMBA ILA TATIZO LAKE NI STAKI NATAKA

KAMA 2015 ASINGEZINGUA NA KUKIMBILIA RWANDA NA KUKILETEKEZA CHAMA CHA CUF KIPINDI CHA UCHAGUZI 2015 BASI 2020 LIPUMBA NDIO MPINZANI WA PEKEE ANGEWEZA KUPEPERUSHA BENDERA YA UKAWA.

ILA TATIZO MZEE NI STAKI NA NATAKA .

USHAULI WANGU MZEE ANGEPUMZIKA NA SIASA
 
Back
Top Bottom