Recent content by Habari za Zanzibar

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ndejembi, Guterres wazungumzia mageuzi ya un na amani duniani

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, katika Makao Makuu ya Umoja huo jijini New York, Marekani, tarehe 25 Septemba 2026, ambapo amempongeza kwa uongozi wake na...
  2. H

    JamiiForums Tanzania dkt. Mwigulu aipongezа atar kwa kutumia nishati safi usafiri wa Umma

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameipongeza Serikali ya Qatar kwa kufanikiwa kuwa na matumizi makubwa ya teknolojia kwenye usafiri wa umma na hasa matumizi ya nishati safi. Ametoa pongezi hizo leo (Jumamosi, Septemba 26, 2026) jijini Doha, Qatar mara baada ya kupokea taarifa ya uendeshaji wa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atembelea Vatican City

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗟𝗘𝗔 𝗩𝗔𝗧𝗜𝗖𝗔𝗡 𝗖𝗜𝗧𝗬 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Alhamisi Septemba 24, 2026, alitembelea Vatican City akiwa Roma, Italia, katika ziara ya kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo uliofanyika Makao Makuu ya FAO, ambako alikutana na Mkuu wa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Akwilapo azindua kliniki ya ardhi ya kidijiti Mtwara

    WAZIRI AKWILAPO AZINDUA KLINIKI YA ARDHI YA KIDIJITI MTWARA MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani Mtwara huku akiwataka wananchi kutumia fursa hiyo kupata elimu na huduma mbalimbali za ardhi, ikiwamo...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo asisitiza ushiriki wa wanawake katika amani ya maziwa makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesema ushiriki wa wanawake katika michakato ya amani ni muhimu katika kupata suluhisho endelevu kwa changamoto za usalama katika eneo la Maziwa Makuu, hususan Mashariki mwa Jamhuri ya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ndejembi: Sifuri tatu ni muhimu kuokoa maisha ya mama na mtoto

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema juhudi za kuimarisha afya na uhai wa wanawake, watoto wachanga na watoto ni muhimu katika kujenga afya bora, nguvu kazi na...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atembelea Vatican City

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗟𝗘𝗔 𝗩𝗔𝗧𝗜𝗖𝗔𝗡 𝗖𝗜𝗧𝗬 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Alhamisi Septemba 24, 2026, alitembelea Vatican City akiwa jijini Roma, Italia, katika ziara ya kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo, uliofanyika Makao Makuu ya Shirika la Chakula na...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Tanzania yang'ara Kimataifa Kampeni ya Afya ya Mama na Mtoto

    𝗦𝗛𝗘 𝗥𝗜𝗦𝗘𝗦: 𝗗𝗜𝗣𝗟𝗢𝗠𝗔𝗦𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚’𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗣𝗘𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 Ndani ya Jiji la New York, Marekani, imefanyika Sherehe Maalum ya Kampeni ya SHE RISES - Advocacy for a New Era: Women Leading Maternal and Child Health for All, iliyoandaliwa na Mhe. Balozi Togolani...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ahimiza ushirikiano wa kikanda kudhibiti magonjwa ya mifugo

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha uwekezaji na mifumo ya kudhibiti magonjwa ya mifugo kwa lengo la kuchangia kutokomeza Sotoka ifikapo...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Rwanda zazungumzia kuimarisha ushirikiano

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda, Mhe. Olivier Nduhungirehe, pembezoni mwa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, jijini New York...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ateta na Waziri wa Afya wa Tunisia

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗧𝗘𝗧𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗪𝗔 𝗧𝗨𝗡𝗜𝗦𝗜𝗔 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri wa Afya wa Tunisia Mustapha Farhan ambapo wamejadili kwa kina uwezo wa kuzalisha wa dawa ndani ya nchi, tiba ya mionzi na tiba kwa njia wa mtandao. Dkt. Mwigulu amesema kuwa katika hali ambapo...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo asalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio UN, New York

    Wakati wa kuingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, akiwa pamoja na First Lady wa Marekani, Melania Trump, na ujumbe wa Marekani, alisimama kumsalimia Mheshimiwa Dkt. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake wanashiriki kilimo, ufugaji - Waziri Mkuu

    𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗞𝗘 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗠𝗢, 𝗨𝗙𝗨𝗚𝗔𝗝𝗜 - 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗡𝗖𝗛𝗘𝗠𝗕𝗔 ▪️𝗔𝘀𝗲𝗺𝗮 𝘂𝘄𝗲𝗸𝗲𝘇𝗮𝗷𝗶 𝗻𝗶 𝗹𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗶𝗹𝗶 𝗔𝗳𝘆𝗮 𝗠𝗼𝗷𝗮 𝗶𝗳𝗮𝗻𝗶𝗸𝗶𝘄𝗲 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗻𝗴𝗮𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗶𝗶 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema takribani theluthi mbili ya wanawake walioajiriwa katika nchi zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara...
  14. H

    JamiiForums Tanzania 𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 Pumzika kwa Amani Mama Fatma Karume

    𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 Pumzika kwa Amani Mama Fatma Karume Innalillah wa inna ilayhi raji'un
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri zaazimia kuimarsiha ushirkiano wa Kidiplomasia na Kiuchumi

    𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔, 𝗠𝗜𝗦𝗥𝗜 𝗭𝗔𝗔𝗭𝗜𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗠𝗔𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜𝗔𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗗𝗜𝗣𝗟𝗢𝗠𝗔𝗦𝗜𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗨𝗖𝗛𝗨𝗠𝗜 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amesema Tanzania na Misri zimedhamiria kuendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa nchi hizo katika biashara...
Back
Top Bottom