Recent content by H7N9

  1. H7N9

    MISS NATAFUTA -THE BEAUTIFUL GIRL

    [emoji115]
  2. H7N9

    European Parliament resolution on Tanzania

    Hivi huwa vichwa vya habari unasomaga kabla ya kuja hapa? Rwanda na mambo ya EU na US kwa tanzania inahusianaje?
  3. H7N9

    Nahitaji one storey home Plan

    MaJamaa yana roho mbaya utaulizwa nyie ndiyo mnaoitukana serekali tupe I'D yako huko wanaendelea kukungoa kucha daaaaah. ...
  4. H7N9

    Zitto na Fatma Karume wanaunga mkono tamko la EU na wameshiriki kulisambaza

    Wewe umewahi kushika hata katiba kwa mkono ukaaangalia hata cover yake licha tu hata kuisoma? Mm naongea mambo ya msingi maandamano ni haki ya kila mtu kikatiba sasa sijui kama unajitambua au unakuja na mihemko, kaa jitafakari hujitambui kaa tulia
  5. H7N9

    Zitto na Fatma Karume wanaunga mkono tamko la EU na wameshiriki kulisambaza

    Uongozi bora, siasa safi ndiyo Ustawi wa uchumi wewe endelea na matajiri mtaishi kama mashetani visa na chuki uone mwisho wa kulipa kodi ni lini?
  6. H7N9

    Marais Dkt. Magufuli, Kenyatta na Museveni mnasubiri nini kuivamia Kijeshi Burundi?

    Wewe si yule uliyejinasibu kuwa ni mtusi ambae warais wote wa africa mashariki watusi ndiyo mnaowaweka? sasa mambo yakijeshi yanatoka wapi wakati kwa uzwazwa na unafiki wako mkubwa na kejeli kuwa watusi ni watu wenye akili sana ingieni na Burundi kasimamisheni huko kibaraka wakitusi nyie si...
  7. H7N9

    Wanawake wote wa jf tukutane hapa

    Mwanaume asiyetaka mtoto atakuwa na mental illness yaani huyu siyo ila kwa nyie wa kike hamtaki watoto kabisa sijui ooooh sijajipanga mara hadi niolewe nyie wanaume hamwaminiki masababu chungu nzima
  8. H7N9

    Wanawake wote wa jf tukutane hapa

    Mtake radhi jamaa hizo siyo mbegu za bamia
  9. H7N9

    Wanawake wote wa jf tukutane hapa

    Mwanaume wakumzalia niwa aina gani toa wasifu wake hapa nasisi tupate wigo wakutiririka hapa mbona kama vile hujiami?
  10. H7N9

    Wanawake wote wa jf tukutane hapa

    Huyu ni wakiume yeye anatafuta nyie mnazipenda sasa sijui mtafutaji anapenda au anakuwa na nidhamu na hela yake hata hivyo nyie wajaa laana
  11. H7N9

    Zitto na Fatma Karume wanaunga mkono tamko la EU na wameshiriki kulisambaza

    Uchumi uko ICU eti tufanye kazi!kazi wakati biashara na mambo mengine kwisha hiyo kodi utaipata wapi?
  12. H7N9

    Nahitaji one storey home Plan

    Wale jamaa wa kaunda suit na miwani nyeusi
  13. H7N9

    Nahitaji one storey home Plan

    Wewe siyo wale mamiwani nyeusi?
Back
Top Bottom