Zitto na Fatma Karume wanaunga mkono tamko la EU na wameshiriki kulisambaza

blix22

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
213
645
Kwa kifupi Bunge la EU Desemba 12 mwaka huu limetoa lawama nzito kwa Serikali ya Tanzania kuhusu mambo mbalimbali hasa wakikazania ushoga.

Wamekwenda mbali zaidi ya kusema Tanzania ifute sheria zote zinazozuia ushoga na ufirauni unaoendana na huo.

Sasa cha ajabu Zitto na Karume, waislamu kabisa ambao dini yao inaongoza kulaani ushoga ndio wamelewa kabisa kwa fedha za wazungu, wanaunga mkono tamko la EU na ndio safari hii wametumika kuanza kulisambaza mitandaoni.

Aibu sana kwa kweli, Taifa linapita pagumu, sana ila siku zote haki hushinda batili.
 
Rubbish! kumbe hawa wamefukuzwa nchini! tuliambiwa kuwa eti wameitwa kwa majadiliano, kumbe uongo Jiwe kawafukuza!
whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him; whereas, since the election of President Magufuli, the Head of UN Women, the Head of the UNDP and the Head of Unesco have all been expelled from Tanzania;
 
Kwa kifupi Bunge la EU Desemba 12 mwaka huu limetoa lawama nzito kwa Serikali ya Tanzania kuhusu mambo mbalimbali hasa wakikazania ushoga.

Wamekwenda mbali zaidi ya kusema Tanzania ifute sheria zote zinazozuia ushoga na ufirauni unaoendana na huo.

Sasa cha ajabu Zitto na Karume, waislamu kabisa ambao dini yao inaongoza kulaani ushoga ndio wamelewa kabisa kwa fedha za wazungu, wanaunga mkono tamko la EU na ndio safari hii wametumika kuanza kulisambaza mitandaoni.

Aibu sana kwa kweli, Taifa linapita pagumu, sana ila siku zote haki hushinda batili.
Naombeni Bandiko plizz
 
Weka lawama hizo hapa watu wachambue mbivu na mbichi !!. Ninachojuwa jumuia ya kimataifa inapingana na
1. U dictator wa kiongozi kudhani fikra zake ni sheria.

2. Kuminya haki za binaadamu na hapa ndipo mashoga hupatia nguvu .

3. Serikali kujiondoa kwenye open governence ni sababu kubwa.

4. Sheria za hovyo kama za takwimu na zingine huleta hizi lawama.

5. Kuwaona wapinzani kama mahaini Wakati hawana makosa.

Nchi hii ikikosa watu kama Zitto, Karume, Lissu, Mtikila nk tutaangamia kwa watu Ka Jiwe

Sijui umri wako but labda nikufahamishe kidogo tu

Hao EU wanatupa shutuma because ya pesa zao ambazo wanatupa na misaada mingine ndio maana wananguvu ya kusema Hayo yote,

That's why Rais Magufuli kila siku anasema tufanye kazi, tulipe kodi, tujitegemee, tukiweza hayo hakuna mzungu ambae atasema lolote kuhusu sisi hata tukiamua kula watu
 
Kwamba watajwa hao wao hawana Free will, wa kufikiri na kuamua kama waonavyo yawapasa?

Je wapenda wawe kama wewe unayetumiwa na hao unaowatetea?
 
Kwa kifupi Bunge la EU Desemba 12 mwaka huu limetoa lawama nzito kwa Serikali ya Tanzania kuhusu mambo mbalimbali hasa wakikazania ushoga.

Wamekwenda mbali zaidi ya kusema Tanzania ifute sheria zote zinazozuia ushoga na ufirauni unaoendana na huo.

Sasa cha ajabu Zitto na Karume, waislamu kabisa ambao dini yao inaongoza kulaani ushoga ndio wamelewa kabisa kwa fedha za wazungu, wanaunga mkono tamko la EU na ndio safari hii wametumika kuanza kulisambaza mitandaoni.

Aibu sana kwa kweli, Taifa linapita pagumu, sana ila siku zote haki hushinda batili.

Shida ni kwamba mnazidi kumfanya Zitto very powerful...

Kwa propaganda zenu hizi Zitto anatoa tweet moja tu ana neutralize kila propaganda zenu!

Mtu anawasumbueni just kwa tweet moja tu,hivi hamuwezi kaa chini mkajitadhimini kweli?

Nilijua mtakimbilia ushoga as if document nzima ni ushoga,kuweni wakweli bwana!

Na mnavyozidi kuongea huo ujinga ndio mnazidi kumpa wakati mgumu sana jiwe...

Baada ya Makonda kutoa hukumu zake kwenye vyombo vya habari,kesho yake tu serikali ika-release official statement kuomba msamaha.....let that sink in kwanza!

Hebu hoja ya ushoga muiache....jibu vitu vingine jamani...mnazidi kuharibu!
 
Weka lawama hizo hapa watu wachambue mbivu na mbichi !!. Ninachojuwa jumuia ya kimataifa inapingana na
1. U dictator wa kiongozi kudhani fikra zake ni sheria.

2. Kuminya haki za binaadamu na hapa ndipo mashoga hupatia nguvu .

3. Serikali kujiondoa kwenye open governence ni sababu kubwa.

4. Sheria za hovyo kama za takwimu na zingine huleta hizi lawama.

5. Kuwaona wapinzani kama mahaini Wakati hawana makosa.

Nchi hii ikikosa watu kama Zitto, Karume, Lissu, Mtikila nk tutaangamia kwa watu Ka Jiwe
Maskini Mtikila, aliondolewa mapema! Angekuwa hai, sijui Mahakamani kungekuwa na hali gani kwa upuuzi huu inayoendelea.
 
Sijui umri wako but labda nikufahamishe kidogo tu

Hao EU wanatupa shutuma because ya pesa zao ambazo wanatupa na misaada mingine ndio maana wananguvu ya kusema Hayo yote,

That's why Rais Magufuli kila siku anasema tufanye kazi, tulipe kodi, tujitegemee, tukiweza hayo hakuna mzungu ambae atasema lolote kuhusu sisi hata tukiamua kula watu
Hakika kabisa. Ila kuna misukule ya chadema hawaelewi na ndio maana wanashangilia. Hao hata wakiambiwa wavue chupi na kutembea uchi watafanya eti kwa kuwa wameambiwa na mzungu
 
Sijui umri wako but labda nikufahamishe kidogo tu

Hao EU wanatupa shutuma because ya pesa zao ambazo wanatupa na misaada mingine ndio maana wananguvu ya kusema Hayo yote,

That's why Rais Magufuli kila siku anasema tufanye kazi, tulipe kodi, tujitegemee, tukiweza hayo hakuna mzungu ambae atasema lolote kuhusu sisi hata tukiamua kula watu
Uchumi uko ICU eti tufanye kazi!kazi wakati biashara na mambo mengine kwisha hiyo kodi utaipata wapi?
 
Kwa kifupi Bunge la EU Desemba 12 mwaka huu limetoa lawama nzito kwa Serikali ya Tanzania kuhusu mambo mbalimbali hasa wakikazania ushoga.

Wamekwenda mbali zaidi ya kusema Tanzania ifute sheria zote zinazozuia ushoga na ufirauni unaoendana na huo.

Sasa cha ajabu Zitto na Karume, waislamu kabisa ambao dini yao inaongoza kulaani ushoga ndio wamelewa kabisa kwa fedha za wazungu, wanaunga mkono tamko la EU na ndio safari hii wametumika kuanza kulisambaza mitandaoni.

Aibu sana kwa kweli, Taifa linapita pagumu, sana ila siku zote haki hushinda batili.

Ushoga haufai hata kidogo.

Ila ktk hilo tamko la EU umeona ushoga tu?

Zitto ni kiongozi wa upinzani, je huoni tamko linaugusa upinzani na demokrasia nchini?

Fatuma Karume ni activist, je huoni kuwa naye linamgusa?

Acha ushabiki wa kupindukia, balansisha story yako.
 
Kwa kifupi Bunge la EU Desemba 12 mwaka huu limetoa lawama nzito kwa Serikali ya Tanzania kuhusu mambo mbalimbali hasa wakikazania ushoga.

Wamekwenda mbali zaidi ya kusema Tanzania ifute sheria zote zinazozuia ushoga na ufirauni unaoendana na huo.

Sasa cha ajabu Zitto na Karume, waislamu kabisa ambao dini yao inaongoza kulaani ushoga ndio wamelewa kabisa kwa fedha za wazungu, wanaunga mkono tamko la EU na ndio safari hii wametumika kuanza kulisambaza mitandaoni.

Aibu sana kwa kweli, Taifa linapita pagumu, sana ila siku zote haki hushinda batili.
Taja na mambo mengine yaliyoongelewa kwenye hilo Tamko!!
 
Weka lawama hizo hapa watu wachambue mbivu na mbichi !!. Ninachojuwa jumuia ya kimataifa inapingana na
1. U dictator wa kiongozi kudhani fikra zake ni sheria.

2. Kuminya haki za binaadamu na hapa ndipo mashoga hupatia nguvu .

3. Serikali kujiondoa kwenye open governence ni sababu kubwa.

4. Sheria za hovyo kama za takwimu na zingine huleta hizi lawama.

5. Kuwaona wapinzani kama mahaini Wakati hawana makosa.

Nchi hii ikikosa watu kama Zitto, Karume, Lissu, Mtikila nk tutaangamia kwa watu Ka Jiwe
Mpotezee huyu Gendayeka, yaani katika mambo 16 kwenye hilo tamko, yeye kana la gays tu ndio alilete hapa!! Poor inzi LA chooni!!
 
ni amri siyo ombi,kama unabisha fanya kama unajikuna wakati unaleta blah blah zako za kusema sisi ni nchi huru
Kwa kifupi Bunge la EU Desemba 12 mwaka huu limetoa lawama nzito kwa Serikali ya Tanzania kuhusu mambo mbalimbali hasa wakikazania ushoga.

Wamekwenda mbali zaidi ya kusema Tanzania ifute sheria zote zinazozuia ushoga na ufirauni unaoendana na huo.

Sasa cha ajabu Zitto na Karume, waislamu kabisa ambao dini yao inaongoza kulaani ushoga ndio wamelewa kabisa kwa fedha za wazungu, wanaunga mkono tamko la EU na ndio safari hii wametumika kuanza kulisambaza mitandaoni.

Aibu sana kwa kweli, Taifa linapita pagumu, sana ila siku zote haki hushinda batili.
i
 
Twende na Nd. Membe 2020 yote yatashughulikiwa
 
Back
Top Bottom