habari za jumapili..
nisidieni kuhusu hii kozi Bsc.Biotechnology and Laboratory Science ya SUA.
Nilikutana na rafiki yangu anasoma hiyo kozi pale SUA ameingia mwaka wa tatu sasa ila anachosikitika ni kwamba wakati wa field ilikuwa ngumu kwake kwa sababu sehemu nyingi alipokwenda walimwambia...
cha msingi hapo ni kumwekeza tu mzee ukweli so long yupo kweli chuo na mzee ataona ni jinsi gani atamsaidia japo kwa mawazo lkn kukaa kimya au kudanganya haisadii chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.