Ushauri wa ki-elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa ki-elimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by laun, Nov 19, 2011.

 1. l

  laun Senior Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji kumshauri rafiki yangu ambaye namnukuu katika stori ifuatayo
  "Baba anawalipia karo watoto wengi wake na ndugu zake,kuna mtoto wa jirani ambaye kutokana na matatizo ya nyumbani kwao aliamua kuchukua jukumu la kumsomesha. Katika makubaliano ambayo sio formal alikubali kumsomesha elimu ya advance ambayo msomeshwaji alitoa taarifa za uongo. Ukweli ni kwamba alikuwa anatafuta credit wakat akiwa form five na alitumia miaka mitatu kuzipata credit. Ili aendelee kupata msaada alimdanganya mzee kuwa amefaulu mtihani wa form six wakati ambapo mtihani huo hakuufanya kwa kukosa registration kutokana na kuchelewa kukamilisha taarifa zinazomuhusu. Kutokana na mzee kuwa na mambo mengi alishindwa kufuatilia in detail taarifa zinazomuhusu kijana huyo zaidi ya kupata taarifa kutoka 3rd person(ndugu wa msaidiwa) ambaye either kwa kutokujua au kujua alitoa taarifa za uongo. Kijana baada ya kushindwa kufanya mtihani wa a level alishauriwa aingie ualimu wa s/msingi na kama ana lengo la kujiendeleza ,atajiendeleza tayari akiwa na ajira ,ushauri ambao hakuutekeleza. Na badala yake alijiunga tasisi moja ya elimu ya juu (certificate )huku akitegemea ufadhili wa mzee ambaye hadi kufikia hapo,nahisi amechoka kulipa kutokana na mzigo wa dependats wengi watoto na ndugu.
  Mzee aliamua kumtuma mtu ku-spy kama ni kweli yuko chuo na mtoa taarifa akaujua ukweli wote ila anaogopa kumpa taarifa mzee kwani msaada kwa kijana utasitishwa,kanambia nimshauri nini cha kufanya. Kutokana na hali ya kujibana tunayoishi naona hakuna ulazima wa kuendelea kumsaidia kijana kwani kitendo alichofanya kudanganya na kuamua kuingia chuo certificate under private sponsorship sio sahihi kutokana na gharama."
  Kama wewe ni kijana wa Mfadhili uamuzi gani unahisi utakuwa sahihi kusema ukweli au kuuficha ukweli ili kijana aendelee na shule wakati hali ya kifedha ni ya kuunga-unga.
  maoni please !
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmm!?nakaa pembeni nisubiri great thinker wanipitie tuondoke zetu
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  u neva no...anaweza akawasaidia badae. Amkaushie tu, he was chitingi for rait papas!!
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Hapo unamhukumu kwa kusema uongo au kwakuwa pesa ni za kuunga unga?. Sijakuelewa ndg.
   
 5. H

  H N Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cha msingi hapo ni kumwekeza tu mzee ukweli so long yupo kweli chuo na mzee ataona ni jinsi gani atamsaidia japo kwa mawazo lkn kukaa kimya au kudanganya haisadii chochote...
   
 6. FM stereo

  FM stereo JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Huyo dogo anapenda kusoma, kama kaamua kwenda shule, basi aendelee kusaidiwa kama uwezo upo.
   
 7. l

  laun Senior Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini asingetoa taarifa za ukweli na pia kwanini asingefanya consultation na mfadhili wake kabla ya kujiunga chuo(certificate)
   
 8. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Ndo matatizo ya misaada hayo!
   
 9. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Iwekwe wazi tu kwa mzee ila aendelee kusaidiwa japo kuwa ana asili ya ubabaishaji.
   
Loading...