Usililolijua Tabia za Watu Mkoa wa Arusha Soma Hapa

Halafu Mr. Rocky ukiiangalia hii Thready yangu nimesema huu ni mtazamo wangu sijui tunabishana nini?

Wala hatubishani tunajaribu kueleweshana na kubadilishana msimamo
Msimamo wako versus msimamo wangu
na ni katika kuyaweka sawa watu wasije wakafikiri kuwa hio ndio hali ya arusha
Hakuna ubishani mkuu
 
Muanzisha thread, inaonekana HUIJUI Arusha vizuri, ndio maana hata mtazamo wako unakinzana.

Ponti namba 2 na 8: Hizo lock zilifungwaje na zitatolewaje, kama hawana HELA, Chalii?
Point namba 6 na 7: Na huko wanakoitana MAPEDESHEE vipi?
Point namba 4: Hili ni tusi kwa wanaume wote waishio Arusha, tutakutoa wenge muda si mrefu, MAZEEE

Nenda kajipange upya mtizamo wako umekaa kimatusi na kujichanganya, kwa mtizamo wangu inawezekana wewe ni mgeni Atown, au mpitaji!

My take: Kuna mtu kakutenda Arusha, so umeamua kutoa mtizamo wako kihivi.
 
hamna mkoa tanzania vijana ni wapambanaji kama mkoa wa Arusha.
Hizo ni story za vijiwe vya kahawa tukukate wenge chali yangu.......!
 
Siyo kweli..kabisa

Arusha vijana hawajali kazi, wanafanya kwa bidii sana

Ukitaka watu hawafanyi kazi lima shamba mkoa wa pwani (hakuna watu wa kuvuna) watu hawataki kibarua

Lakini Arusha huwezi kukosa wafanyakazi (labour)..

Bado wewe hujasema kweli mkuu
 
mie nshakoma, watu wa hii mikoa miwili hii, wana hasira sana utadhani wanakulaga manyigu. hawapendi kabisa kuambiwa ukweli, mweeeeeeee!

kuna utafiti uliwahi kufanyika(samahani nimesahau jina la mtafiti)ulithibitisha kuwa jamii ambazo sehemu kubwa ya chakula chao ni nyama wana hasira za ziada,angalia jamii kama kalamajong,maasai,wa-arusha na waborana kwa uchache tabia zao ni munkali plus!
 
Nitabisha sana
hayo ni mambo ambayo yameshapitwa na wakati
na yalikuwepo miaka hiyo sio sasa kwenye ulimwengu huu ulioendelea
We unauziwa kiwanja unsurveyed area miaka mitano hujatafuta tuu tittle unasubiri nini
hata ukinywang'anywa ni haki yako

hii tabia ilikuwepo enzi za ole njolai kwasasa hakuna mjinga ambae unawea zunguka kijinga..kwanza siku ananunua kiwanja lazima viongozi wa kijiji wawepo, familia ya anae uza shamba na mwandishi wa umma..siyo kuuziana bar
 
12.Vijana % kubwa hawapendi kujiendelleza kimasomo. 13. Kuna tabia ya ku share wanawake hata walio kwenye ndoa.
 
We ndallo ni mkuda sana chalii angu, ni mambo gani unaleta hapa mnamaa!we ni kiseya kweli jamaa angu, naona unatafuta bifu na machalii wa A town man, nitakulengeshea vijana wa unga limited wakufanyizie wakutupe pale naura, kiruu! Acha umbea chalii. Ara chuga mwanzo mwisho! A town ndio Geneva ya Africa etii, umetoka wapi wewe? Tuachie a town yetu bob!
 
12.Vijana % kubwa hawapendi kujiendelleza kimasomo. 13. Kuna tabia ya ku share wanawake hata walio kwenye ndoa.

hiyo infidelity unayoizungumzia hata jf ipo, na ipo mpaka tution ya infidelity inatolewa hapa so kaa kimya.kila mahalali hivi sasa ni uchakachuaji tu
 
hIZO DATA ZA KING'ORI AU WAPI?Duka lipi limafunguliwa mida hiyo? au bando lako lilikosa kazi ukaona uposti umbeya wako?usihamishie umbeya mdomonu kuuleta jf













'
 
ndalo umejitoa thamani..hivi unaijua mikoa ya mwamwinyi wewe? Ngoja nami nitafiti huenda hizi thread watu wanalipwa.yaani nyeupe kabisaa wewe unasema njano..! Duh
 
Arusha ina vijana wasiopenda kazi?
Sijawahi kuona. Arusha mpaka vijana wadogo wadogo wanachangamka we unasema nini.Alafu hiyo haraka unayodai Arusha hamna ipo sana, sema tofauti ni kwamba mji haujasongwa sana na watu.

I love Atown, the people are nice, the weather is good and life is great.
 
Ishi kulingana na kipato chako wewe. Acha maisha ya watu. Mji hauna kaz wakati A to Z imezoa watu wa kutosha we acha utani na pia we ni moja kat ya watu wanaochagua kaz coz unachosema wala huna uhakika nacho.... Kuwa makini fanya maisha jombaaa acha story.
 
1. Masela wote wa form iv leavers wanasoma tours, tourist languages, etc
2. Mirungi
3. Wanawacwac na viongozi wote wa serikali( maakimu, etc)
4. Wakigundua uusnichi, huna baati.
5. Hawataki konakona ijapo swala la haki.
6. Hawapendi kuoneana.
7.wamejikuta cdm ipo damuni hata leo lema akifa baati mbaya au aki2snich ila nibonge ya jembeee!
Kwish
 
Back
Top Bottom