Recent content by H M HAY

  1. H M HAY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa Simba .umefikia wapi?...au tumepigwa kitu kizito

    Wanaona, naamini watajibu
  2. H M HAY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HISIA ZA EDO KUMWEMBE: Simba SC itacheza na ''Wasoweto wagumu'' zaidi

    Noted
  3. H M HAY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe Mechi ya Yanga SC na Namungo FC imelazimishwa ili Kocha Nabi atumikie Red Card yake na Mechi ya Derby awepo Benchini?

    Kwani mamlaka inayohusika kupanga mechi Gani ichezwe lini ni YANGA SC au Tff? Suala la Yanga kuwahonga Tff ili kulazimisha mechi ya Yanga vs Namungo una uhakika nalo au ndiyo tunatumia uhuru wa kuongea vibaya?!!!
  4. H M HAY

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Kwa mujibu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr J P Magufuli, hofu ni ugonjwa hatari zaidi kuliko hata virusi vya Corona! Ndiyo, unapokuwa na hofu kunakosekana umakini na ujasiri hali inayopelekea watu kukata tamaa. Tunapokata tamaa maana yake ni kuwa umuhimu wa kuchukua tahadhari...
  5. H M HAY

    JamiiForums Tanzania U-Genius wa Dr. Magufuli katika kugundua Janja ya watendaji wake wapiga dili mapema

    Hakina tena ujanja ujanja
  6. H M HAY

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Zanzibar yatangaza maambukizi mapya 7. Visa vyafikia 105 (Aprili 28, 2020)

    Mwenyezi Mungu atuondolee balaa hili
  7. H M HAY

    JamiiForums Tanzania Sioni wa kuvaa viatu vya Dr. Magufuli kwa Miaka 20 ijayo

    Hao wanaolalama hawana jipya maana tumezoea kuwaona siku zote wakilalamika hata kwa mazuri yanayofanyika. Tujifunze kushukuru kwa mazuri yafanywayo na siyo kila jambo ni kupinga tu
  8. H M HAY

    JamiiForums Tanzania Sioni wa kuvaa viatu vya Dr. Magufuli kwa Miaka 20 ijayo

    Hakika Magufuli ni mtu wa watu. Wanaomchukia wana lao jambo!!!
  9. H M HAY

    JamiiForums Tanzania Je,wanasingida tunanufaika nini na ziara ya Tundu Lissu?

    Mwanasheria mkuu wa Chadema na mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lissu yupo nje ya nchi tangu alipopigwa risasi katika jaribio la kuuwawa. Baada ya kupata matibabu nchini Ubelgiji, hivi sasa anaendelea na ziara zake katika nchi za Ulaya na Amerika. Akiwa katika nchi hizo amekuwa akitoa...
  10. H M HAY

    JamiiForums Tanzania Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

    Bila shaka kila jambo lina wakati wake. Sasa ni wakati wa Mbowe kuchunguzwa ili kubaini yaliyojificha. Lissu unaujua ukweli kuhusu Kiongozi wako Mbowe
  11. H M HAY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Good news
  12. H M HAY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Good news
  13. H M HAY

    JamiiForums Tanzania ROMBO, KILIMANJARO: Madiwani watatu wa CHADEMA, wawili wakiwa viti maalum wahamia CCM

    Mtamaliza maneno yote kuhusu wanaohama kutoka Chadema kwenda CCM. Ukweli nu kuwa Chadema imepoteza mwelekeo na kwamba watanzania sasa wameanza kulifahamu hilo. Hakuna jipya tena kwa Chadema na kwamba kwa wale wafuasi wa chama hicho mtayaongea mengi ya kujifariji!!!!
  14. H M HAY

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam Tv kwa kuonesha kampeni za uchaguzi mdogo

    Hakuna jipya hapo, mnapoteza muda wenu bure kusifu vitu ambavyo havina faida kwa upande wako. Uchaguzi unafanyika katika jimbo lingine, wewe unashadadia as if wewe ndiye mgombea wa chama fulani. Badala ya kufanya kazi ujiongezee kipato unatumia muda wako mwingi kusifu mambo yasiyokusaidia
  15. H M HAY

    JamiiForums Tanzania Kutembelea Rwanda

    Ni kweli kabisa, sisi sote ni ndugu. Tutatembelea huko siku moja
Back
Top Bottom