Recent content by H K dotcom

  1. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Dr. Asha Rose Migiro: The next president?

    akipata urais anaweza kuwa kama Jois banda wa malawi alivotusumbua na yale maji ya Nyasa
  2. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Nape amvaa Dr. Slaa

    mm namuona peNa ni kama nati moja imelegea kichwani
  3. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa CCM: Lowassa anafanya kampeni

    Mbona huyo kigogo amemuona lowassa tu! kwani lowassa ni mpinzani ndani ya ccm?au wanamgwaya .km kina Nape
  4. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Nape atuambie iwapo CCM ina Green Guard kama Usalama wa Taifa

    nikisikia jina la Nape ni km tusi vile
  5. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa-Tuhuma za ufisadi dhidi yake na unafiki wetu watanzania

    Kama humpendi tafuna limao Lowassa chaguo la Mungu
  6. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Nape amvaa Dr. Slaa

    Silaa mwenyewe anamkubali LOWASSA
  7. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa-Tuhuma za ufisadi dhidi yake na unafiki wetu watanzania

    ww km unaona hafai nenda team membe hulazimishwi....
  8. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Hivi kuvaa mlegezo ni fasheni au ni uchizi?

    Ee mwenyenzi Mungu tunusuru na wtt wetu
  9. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Salaam kwa Mh. Edward Lowassa na wenzake

    Hulazimshwi kumpigia debe ukiona jina lake teleza....
  10. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Siogopi Lowassa kuwa rais bali naogopa genge lake!

    kwa hiyo amezungukwa na Inzi? Kikwete alisema chagueni anaekubalika ndani ya chama na nje kwa ufahamu wako nani anakubalika ndani ya chama na nje ya chama??
  11. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa-Tuhuma za ufisadi dhidi yake na unafiki wetu watanzania

    kwa akili yako kuna mtu anaweza kulipa ule umati uliokusanyika uwanja wa shekh Amri abed karume???mapofu yanakutoka kale limaoo
  12. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa anaonekana kachoka sana hata kabla ya kampeni

    mtadanja mmuache kipenzi cha watu
  13. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Nape amvaa Dr. Slaa

    Lowassa ndo'mpango mzima....
  14. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Salaam kwa Mh. Edward Lowassa na wenzake

    ujumbe kw Nape kama sio Lowassa basi jiandae kisaikolojia kwa Ukawaaaaaa
  15. H K dotcom

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere aaga mbio za Urais, ajikaanga kwa mafuta yake

    Nape alifikiri ccm ni ya baadhi ya watu nataka aendelee kumshambulia Laigwanan
Back
Top Bottom