Recent content by gynest

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mazezeta ya kalamu

    Wasomi wanaongezeka ila wanaoelimika wanapungua kwa kasi kwa hiyo wanabaki wasomi mazezeta
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume hivi mkoje? Mnaomba namba kila mtu, mnakera sana

    Uliowapa mbona hujawataja, ila unaowanyima ndo unwasema vibaya. Tabia mbaya hiyo. Acha ubaguzi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa zamani wa msichana wangu karudi, anasema niachane nae

    Samahani ni nilikua napita tu sina cha kuchangia
  4. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MBEYA sehemu gani
  5. G

    JamiiForums Tanzania Bara la Africa limelaaniwa na Mungu

    Hili jambo ni sahihi kabisa. Tazama viongozi wetu, angalia jinsi tunvyochukiana wenyewe kwa wenyewe bila sababu za msingi. Na ndio maana hatuwezi kufanya kitu kit aka chronic Aisha taiga kwa ujumla
  6. G

    JamiiForums Tanzania Oa kulingana na mahitaji yako

    Duu umeniamsha we jamaa, kumbe ningejiju
  7. G

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumfanya mtoto anayezaliwa aweze kuwa na kumbukumbu ya baba na mama

    Habari wana jamii forum, LEO nataka niwape somo ambalo pengine wengi wenu hamkubahatika kufahamu. Katika urithishaji wa kumbukumbu kwa mtoto anayezaliwa limekua ni jambo ambalo kwa asilima kubwa halifahamiki kwa wafrka wengi, hii pia imetokana na madaktari wengi kutofundishwa vyuoni...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Amri nane (8) kwa wapenda ofa

    Teh teh teeeeeh!! Kweli kabisa
Back
Top Bottom