Wana JF habari yenu humu..
Nilikuwa nataka kuuliza swala moja hasa kwa wale waliowahi kupitia au kuhama chuo kimoja kwenda kingine. Ni namna gani unaweza kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine iwe ni degree au diploma yeyote.
Hebu tujuzane namna unavyoweza kufanya kwa mfano umesoma mwaka wa...
Habarini wana na binti wa JF,
Nimeona nifunguke kwa tabia ambazo kiukweli zisifagilii na huenda pia huzifagilii na tunaweza kuita ushamba wa mjini.
[emoji666] ni pale kila msichana unayemwita barabarani yeye moja kwa moja anajua umemzimia na unataka namba yake...hii tabia ya wanawake kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.