[emoji23] [emoji23] [emoji23]Element, Triple 7 hapo thatha Napendelea kwenda kusalimu Namaqualand nipate zangu Namaqua sweet red wine au savanna. Mziki kila nyimbo naimba nakucheza mpaka kiingilio changu kiishe ha ha ha ha ha ha isibaki hata mia ya chenchi...