Lengo kuu ni kutaka kuondoa ukomo wa mihura ya urais, Jiwe kawashika pabaya ccm hata wabunge watakaopitishwa awamu hii ni wale watakaoimba pambio la bwana asifiwe na aameeni.
Mimi siwezi kukubariana na hoja yako kwani kwa sasa nchi yetu kila kitu kipo kisisa mpaka ugonjwa wa corona sisasa tupu hatuambiwi ukweli, polisi wapo kisiasa mf kifo cha mwangosi,Akwilina,shambulio la Tundulisu na mengine mengi tu viko wazi lakini sijaona haki ikitendeka ni propaganda tu ndicho...
Ni kweli nakubariana na wewe lakini sio kwa uchaguzi ni kwa hila za serikali ya awamu ya tano kwa kutumia tume yao na nguvu ya dola.Kiukweli tume huru tuingie kwenye box la kura pamoja na kuvurugwa na nguvu ya dola kuzuia mikutano na kuwazushia kesi vionngozi wa CHADEMA bado ninaimani ya kua...
Mtoa mada umesema pamoja na kuandika pumba kwenye magazeti na kumsema vibabaya kwenye mitandao ya kijamii lakini Trump bado amelindwa kwa kutoondelewa madarakani. Mfano wako haupo sawa hivi Tanzania hii ya awamu hii unauthubutu wa kumuandika rais vibaya au kumkosoa achana na democrasia ya...
Nimekupata umeongea kwa uchungu sana.Hapa Tanzania viongozi wetu wamejinengea mazoea wanaona km watanzania kila siku ni wajinga na waoga wakitishwa kidogo wanatulia lakini hii hali tulionayo wamekalia boom.INAUMÄ SANA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.