Recent content by Gwesefe

  1. Gwesefe

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

    Umemtukana bhana tena kwa kejeli, endelea kumtukana ujifurahishe nafsi yako.
  2. Gwesefe

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

    Unamtukana Yesu Kristo namna hii, huogopi?
  3. Gwesefe

    JamiiForums Tanzania Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

    Kwahiyo hao wafungwa wana thamani kubwa kuliko wapalestina waliouwa? Yaani ushikilie mateka 200, wauwawe watu wako zaidi ya 12,000 kwasababu ya kukomboa wafungwa wasiozidi 5,000? Uhai wa hao waliokufa unakombolewaje?
  4. Gwesefe

    JamiiForums Tanzania Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

    Kumbe Israel ile ni nchi yao ila walikuwa wananyang'anywa, sasa mbona Wapalestina wanadai ardhi hiyo ni yao, na Israel kazawadiwa hapa tu karibuni na mwingreza mwaka 1948? Na ndicho wanachokipigania? Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  5. Gwesefe

    JamiiForums Tanzania Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

    Na wewe jiulize kwanini Hamas walipovamia Israel hawakubaki huko huko wawatafute wanajeshi wote wa Israel wawamalize na kuchukua ardhi ya Israel kuwa yao kama ambavyo wanatamani siku zote? Badala yake wakakimbia kujificha kwenye mashimo, sasa hiyo ardhi wataichukua lini kwa style hiyo ya...
  6. Gwesefe

    JamiiForums Tanzania Macron aitaka Israel iache kuuwa vichanga.Raisi wa Iran ajisemea mwenyewe vitendo vinahitajika sio maneno matupu tena.

    Hivi kwanini Hamasi walienda kuvamia Israel na kuondoka haraka si wangebaki huko huko wazidi kuichakaza Israel na kuiteka iwe yao kama ambavyo huwa wanaidai hiyo ni ardhi yao.
  7. Gwesefe

    JamiiForums Tanzania Tuiombee nchi ya Israel: Haikanushiki kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu. Hii haina maana kuwa Waisrael wote hawana makosa, tuwaombee

    Hata kama ukimtukana haipunguzii ukuu wake. Atabaki kuwa Mungu.
  8. Gwesefe

    JamiiForums Tanzania Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Umekosea sana kumtukania mama yake kuwa ni malaya, je akikuambia na wewe mama yako ni malaya na ni mhusika?
  9. Gwesefe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

    Password utaweka tu mkuu, ni suala la muda tu. Pia mkeo amewezaje kumpa namba huyo mzee, labda cha kukumbusha tu mkeo anakuambia habari za wale aliowakatalia ila wale aliowakubalia au atakaowakubalia hatakuambia. Ukiona mwanamke anakuambia waliomtongoza jua amegundua kwamba ndizo habari...
  10. Gwesefe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kaninunia

    Kiufupi tu, anachokifanya huyo jamaa yako si sawa. Haipendezi. Na kama anakupenda haswa asingethubutu kufanya hivyo, na huyo mtoto sio wa shemeji yake, ni wa kwake mwenyewe!
  11. Gwesefe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amegundua Mchumba anatembea na Mchungaji

    Mi nimeshaoa ndugu yangu mwaka wa sita sasa. Tumsaidie tu kijana.
  12. Gwesefe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amegundua Mchumba anatembea na Mchungaji

    Kwa kweli mi mwenyewe imenitafakarisha sana tena wanauwezo wa kufanya mpaka ofisi baada ya ibada, hata jamaa anashindwa kuelewa maana kitendo cha kufanyia ofisini ni cha dakika tu wanajikausha, binti anarudi nyumbani kama hajafanya chochote kile. Japo alisema mchungaji anamega pia rafiki wa huyo...
  13. Gwesefe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amegundua Mchumba anatembea na Mchungaji

    Unawafahamu nini mkuu?
  14. Gwesefe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amegundua Mchumba anatembea na Mchungaji

    Duh!
  15. Gwesefe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amegundua Mchumba anatembea na Mchungaji

    Hapo kwenye bold, nadhani panamfaa.
Back
Top Bottom