Recent content by gwenivia

  1. gwenivia

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Duh mbona hatari hii maswali hua yanabase wapi hasa nitafute mtu
  2. gwenivia

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mimi ni mwanafunzi niko mbeya namaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 6 nimeomba ukarani mtwara .Swali langu kutokana na maelezo yako, lazima usahili nifanye sehemu niloomba ?? Na kama ndio naweza fanya usahili huku niliko??
  3. gwenivia

    Dirisha la rufaa HELSB 2019/20 (Appeal window)

    Hiyo registration number mi nlijaribu kuandika before ata sijaconfirm ilikataa
  4. gwenivia

    Dirisha la rufaa HELSB 2019/20 (Appeal window)

    Alafu hii sehemu ya appeal reason kama ya kwako haiko kwenye zile walizo zieka wao unasubmit tu au
  5. gwenivia

    Nani amefanikiwa kupata Award Verification number (AVN)kutoka NACTE kwa 2019?

    Samahani nina tatizo sehemu hiyo ile sehem ya kujaza additional qualification naweza nikajaza certificate ya A level au ni diploma tu peke ake
  6. gwenivia

    AVN (nacte)

    Habar zenu! Nimemaliza diploma mwaka huu, katika process ya kupata AVN kuna sehemu ya kujaza additional qualification swali langu ni kama nina cheti cha form six nikiadd au niache kwa kua nina diploma ...msaada wenu🙏
  7. gwenivia

    AVN (nacte)

    Habar zenu! Nimemaliza diploma mwaka huu, katika process ya kupata AVN kuna sehemu ya kujaza additional qualification swali langu ni kama nina cheti cha form six nikiadd au niache kwa kua nina diploma ...msaada wenu🙏
  8. gwenivia

    Mnyonge mnyongeni lakini......

    jaman wabongo wako kama wachawi c msifie tu kwan mnalipia loooh mh mond uko juuuuuuuuu wenye wivu watasanda kwa sana tu
  9. gwenivia

    Mnyonge mnyongeni lakini......

    et ametumia kidhungu tumsifie unalo babuuu hapa ndo bongo kama imekuuma mond kumsalimia Nelly kantangaze kwa jay z si jiran yako eeeh ha ha ha pyeeeee
  10. gwenivia

    Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

    hata akikosa si mbaya keshatutangaza vya kutosha wenye roho mbaya mtasanda Sana....wenye wivu haooooo wachonganishi haoooooo....big up naseb Ramadan kareem
  11. gwenivia

    kwa wale wanaoijua shule ya wali ul asr seminary

    naomba mnipe details zake na kama kuna mtu anaenda hapo anifahamishe
Back
Top Bottom