Recent content by Gwata Gwan

  1. G

    Uzi wa Rikiboy wa kula kimasihara ulivyoniponza

    Sipati picha linda lilivyoliwa kimasiharaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. G

    Je, ni kitu gani mwenye nyumba aliwahi kukukataza usikifanye?

    Alinikataza niwe nisiwe mzembe mzembe we kuwa free kama kwenu Alooooooo we sio powa unaambiwaaa iyo
  3. G

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Moja kwa moja nikapiga tu ako
  4. G

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daaaaah [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]nimechekaaaa kijana analambaa ad kwapa [emoji1787][emoji1787]
  5. G

    Madhira yaliyonikuta BMax Lounge

    Daaaah kwel kuna watu wachache wanatuharibia Sifa wanywa pombe [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. G

    Mazingira gani ambayo ulipoteza / kuibiwa simu, ambayo hutoyasahau?

    Daaaah ubungo plaza near shelilangoo mwendokasiiii sita pasahau[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
  7. G

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Z ni herufi ya kimafya
  8. G

    Makapuku Forum

    Naombeniii afu hamsiniii jaman
  9. G

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    1 kwa 1 twende kwenye mada
  10. G

    Tumekosana na mke wangu muda huu, mchana huu tumeshinda njaa kwa ujinga wake

    Nilikuwaa siamini last born wakikaa nyumba moja ni vituko kumbe kweli bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. G

    Naombeni ushauri kuhusu kozi na maisha ya chuo kikuu

    M nakushauri what ever chuo utachopangiwa na ukiwa unaenda kwa hiyari yako JICHANGANYE NARUDIA TENA JICHANGANYE NARUDIA TENA JICHANGANYE we kuanzia first year mpaka unamaliza uwe mtu wa mishe mishe yani huku na kule usibweteke UTAKUJA USHUKURU
  12. G

    Nyie wenzangu mnawapataje au mnawapata wapi?

    Sio uongo we kweli unanyota ya Buzi kama ulivyosema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. G

    Baada ya kuuona utupu wake, kanikabidhi tunda kiulaini

    Hii si Ndo ile muvy inaitwa OPRAH au nimechanganya
  14. G

    Watangazaji wa Azam TV wamekuwa wakirudia nguo

    Asa mtoa uzi how comes unakipindi kila siku per year ni 365 days na kwenye kazi unamkataba wa 10 years au hata 5 years izo hela za kununua let’s say suluali 365 na mashati 365 au magauni 365 ata zitoa wapi kama wewe hujampa [emoji23][emoji23][emoji23]
  15. G

    Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

    Yani somebody ka introduce kazi yake ya kunyoa ayo makwapa kwa moyo wake wote na anaenjoy doing his or her job ww unamsema kwa kazi yake hujawai mpa ata bolilo la azam akanywee chai afu unampondea kazi yake , wewe uyo uyo uje uwaseme watu wako jobless dah BINADAMU BWANA[emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom