Madhira yaliyonikuta BMax Lounge

Wise E

JF-Expert Member
May 10, 2019
932
980
Habali wakuu,

Wale wazee wakuponda kila kitu muipotezee tuu hii threads jana bana nikaamua kwenda bmax lounge nikiwa na staff wenzangu watano wa ofisini

Sasa bana maisha haya sometimes tukiwa mitungi kupitiliza shit happen tuna play around. Kuna binti mmoja niliwahi kuruka nae one night stand hapo sasa sina hili wala lile akaninyanyasa kijinsia aisee ha ha

Sasa si ndio jana niko na wafanyakazi wenzangu wengine tunaheshimiana naona kuna mtu yuko nyuma yangu ananigusisha matako nikakausha for hardly 5mns ile nageuka kiaina namkumbuka muuzaji siunajua sasa nikasema duu leo ushenzi wangu utaonekana hapa ha ha

Ilibidi nimuagizie drinks kimya kimya bila hawa wanazengo kujua wazee hawa viumbe sio wakucheka nao anaweza kutia kitumbua mchanga

Tuache tabia hii jamani mbaya ha ha. Wazee wakujifanya wema kumbe mnafanya mambo machafu zaidi ya haya nawasubili na comments zenu ha ha have a lovely sunday ya ll folks.
 
Naomba code za Bmax ni wapi na mm huenda nikakutana na wangu wa zamani!!!
 
Ndo inabamba kwa sasa maana Sinza sijuqgi hata wapi panambana zaidi bora huku kwetu unajua kabs Camp Joint, Nolasco, The Giant ivo yaani!!
Hiyo na mbele yake kuna kitambaa cheupe ndo habari ya Sinza kwa sasa
 
Back
Top Bottom