Watangazaji wa Azam TV wamekuwa wakirudia nguo

mengine unawasingizia

sijaona mtangazaji anayejitahidi kubadili nguo kama halima shebuge wa ndani ya box

huyo dan sijamfatili lkn umezidisha chumvi
 
mengine unawasingizia

sijaona mtangazaji anayejitahidi kubadili nguo kama halima shebuge wa ndani ya box

huyo dan sijamfatili lkn umezidisha chumvi
Kwa shebughe ni kweli yule dada yupo very smart na ndio anayeongoza kwa kupendeza Azam media yote Ile,Ila kazi ipo kwa mwenzake na wale wengine fatilia tu utaona
 
Inakera vipindi ambavyo unatamani kuona presenter akiwa smart unaona anarudia nguo ya wiki iliyopita, jamani badilikeni inaboa sana.

Mkuu sijaelewa. Kwamba usmart ni kuvaa nguo mpya na tofauti tofauti kila siku/wiki?

Shuleni tulikua tunavaa nguo zile zile mwaka mzima, na tulikua smart.

Labda kama ungesema unashauri watafute wadhamin upande wa mavazi, Ila kurudia nguo ambazo ni sadi6, hakumfanyi mtu kutokuwa smart
 
Asa mtoa uzi how comes unakipindi kila siku per year ni 365 days na kwenye kazi unamkataba wa 10 years au hata 5 years izo hela za kununua let’s say suluali 365 na mashati 365 au magauni 365 ata zitoa wapi kama wewe hujampa
 
huwa wanaingia mkataba na maduka ya nguo wanavaa na kurudisha ila kwa mwezi au week anapewa labda nguo moja.
 
Back
Top Bottom