Hivi hiyo ndio hoja ya msing ya kuingia bungen kwel..??? kwa hiyo hata joyce kiria nae aingiee sabab aliipgania sana ukawa!!! Na mange kimambi,wema sepetu,batuli steve nyerere snura ze comedy kitale,stan bakora,king majuto,diamond, barnaba N.K na wao itabid waingie bungen sabab waliipgania sana...