Recent content by Gwankaja Gwakilingo

  1. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni nani?

    shule ya uongozi
  2. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe imetuachia kumbukumbu isiyofutika, kwamba Serikali ilithibitisha Mbowe ana kesi ya kujibu, ushahidi ulitosha!

    kabisa kesi iliwashinda mahakamani mashahidi wakagongana gongana ushahid ukashindwa kuungana Ilitosha kabisa kuacha kuendelea na kesi
  3. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe imetuachia kumbukumbu isiyofutika, kwamba Serikali ilithibitisha Mbowe ana kesi ya kujibu, ushahidi ulitosha!

    hao jamaa wako na vichwa vigumu sana pengine ni kwasababu ya kula Bulga
  4. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe imetuachia kumbukumbu isiyofutika, kwamba Serikali ilithibitisha Mbowe ana kesi ya kujibu, ushahidi ulitosha!

    Tafsiri ya hili ni kwamba serikali imejivua nguo imeshindwa kuthibitisha hiyo kesi waliosema hao wamba wanayo
  5. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

    asie mwadilifu hapa ni nani sasa huyo alieshindwa kuthibitisha shtaka au huyo alieachiwa huru?
  6. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Tanzania iko huru, laana ya Lengai Ole Sabaya itaenda na wengi

    umeandika wewe aibu naona mimi
  7. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Wakati Uingereza wanashinikiza Waziri Mkuu wao ajiuzulu, sisi hapa Tanzani, Polisi anamchoma sindano mfanyabiashara na kumuua tumekaa kimya!

    Nasikia zamani wakubwa wetu waliwahi kula kitu inaitwa Bulga nadhani hii kitu ndio imeendelea kuathili kizaz hata kizazi
  8. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania TCRA haina malaika ya kuzuia Darasa la Uongozi.S

    kweli kabisa wakifungulie maana Mahafali yetu ilikua yafanyike march 2022 sijui itakuaje wanafunzi tumeshikwa na butwaa
  9. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

    wamemfunza adabu by surprise
  10. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Tanzania, mmedhibiti mijadala kwenye radio na Televishen, wanaharakati na wapinzani wamehamia space na zoom mmewafuata kuomba mic; It's Shame

    mwamba kapuyanga hapa hajaelewa maana alichojieleza wala hakifanani na hoja jadidu
  11. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Ujue mkoa wa Mbeya kwa ufupi

    Msitusahau na sisi tunaoishi Ilolo jamani
  12. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Jinsi kampuni ya Sauli Luxury Bus ilivyofanikiwa katika biashara ya usafirishaji

    Samahani, Sauli huyu na yule aliekua mbunge wana unasaba?
  13. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Rais kwa mwaka 2025 napendekeza awe Kassim Majaliwa au Selemani Jafo

    Sidhani kama nchi itahitaji Rais 2025 wakati wa kuishi bila Rais umewadia ili tujitathmin kujua wapi huwa tunakosea...kusiwe na rais kabisa Ikulu ifungwe kwa kipindi iko utafutwe utaratibu mwingine wa kuongozwa
  14. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

    Mwanaume anayeacha pesa nyumbani na kuacha nafasi ya matumizi kupangwa na mke ndiye mwanaume bora kabisa kwa matumizi ya nyumbani mwanamke ana phd yake tangu eden
  15. Gwankaja Gwakilingo

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji Mbeya nawapongeza kwa uamuzi wa kujenga City Mall

    Kwa eneo lile haiwezi kuiws city mall labda city grocery
Back
Top Bottom