Mkuu hapa napingana na wewe kwenye hilo swala la kuamka na kuandika huo msamiati, kiukweli kabisa binadamu tuna sehemu mboli za memory storage ambazo ni temporary and permanent storage, hiyo temporary ni ile ambayo mtu unaihifadhi kwa muda mfupi tu baada ya kuona au kusikia kitu na hufutika...
Ila sisi wakrisyo dah[emoji2357] ,kwamba kuna ushindani wa kimahubiri tena?? Aya na point yako imelenga zaidi kwenye sadaka wala sio mafundisho, me nilidhani utafurahi kuwa wananchi wa kawe watakuwa wamepata neema ya kuhubiriwa na watumishi wawili kwa wakati mmoja aisee!
Mimi naamini ni muda na mapito ambayo binadamu lazima apitie kutoka kuzaliwa, kuishi hadi kufa kwake, nikiwa namaanisha muda kati ya kipindi picha inapigwa na muda ambao wewe unakuja kuiangalia kuna mengi yametokea hapo kati kati (hayakua na budi kutokea) pia kumbuka hata mentality yako itakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.