Recent content by gwacha

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nina Hofu Kuu juu ya maonesho ya silaha za kivita

    mbona unakisema kilekile nilichosema.hiyo genocide sio vita ni mauaji kama yale ya walemavu wa ngozi
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nina Hofu Kuu juu ya maonesho ya silaha za kivita

    nadhan unasahau rwanda ile haikua vita bali ni mauaji ya hapaiki
  3. G

    JamiiForums Tanzania Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

    naumia sana kuona mnajadili mada nzuri kama hii kwa mihemko yenu binafsi,daah tunalipoteza taifa,tafakarini please and please!!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ndani ya SCOAN 29 Dec

    Thans Jesus
  5. G

    JamiiForums Tanzania Bunge la pitisha ufisadi na ujangili kwa mgongo wa haki za binadamu

    Hivi ni kwa nini watu wengi kiasi hiki,wenye elimu za kutosha,wenye hekima na busara,kuchezewa mchezo mchafu ulio andaliwa(planed) kiufundi na watu wachache,wasio ipendea mema nchi hii,WAMETUINGIZA KWENYE KILENGEO.Tanzania Tanzania..........!seaching.............
  6. G

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Rais Kikwete aagiza bendera kupepea nusu mlingoti kwa siku tatu za maombolezo ya Kitaifa y

    maendeleo yote dunian huletwa na wale wenye fikra tofauti,sio lazima kila kitu uangalizie kwa wenzio,swali lako limenikere sana,every thing u put politics.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Leo nakesha nadownload xmass songs

    nakuomba unitumie baadhi kwa whatsap kwa 0714501243
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Nimesoma iringa ,dabaga kata ya idete huko kilolo kijiji cha itonya ,mpaka darasa la tano,nikahamia ifunda kijiji cha itengulinyi, mpaka darasa la saba ,nikajiunga na donbosco mafinga,nikafukuzwa cos ya ulanzi.nikaenda mafinga seco school miaka mnne,ulanzi na mkalifya sanaaaaa.......
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kitabia, huyu Sugu hatuwakilishi watu wa Mbeya , anatutia aibu!!

    nakuunga mkono,kwa Mbowe naweza sema it was just a badluck,maana huwa namuamin kwa kiasi fulan,samahan huu ni mtizamo wangu
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kitabia, huyu Sugu hatuwakilishi watu wa Mbeya , anatutia aibu!!

    kwa wazarendo,wanao penda mabadiliko ya kisiasa,kisera ,kiuchumi na kimtazamo hatumshabikii mtu kwa sababu binafsi,wanambeya tunasema Chadema mtiwekee mtu mwingine,Suga anatuaibisha,hebu mlinganishe na wengine toka mbeya
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kitabia, huyu Sugu hatuwakilishi watu wa Mbeya , anatutia aibu!!

    Busara haifundishwi,hairisishwi,haiigwi wala hainunuliwi.kwa tukio zima jana ilionyesha wapiga kura tulivyo wepesi kutekwa na hali ya kimazingira(situation),kama ni viongozi wa bunge tulio wachagua hawakutumia busara(yaani ndugai),ili paswa Mbowe,sugu na wenzake waonyeshe busara zao.lakin kila...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

    nikweli inagusa lakini huo ndio ukweli tumepoteza wapiganaji nane na wengine wengi kujeruhiwa but it is not official
  13. G

    JamiiForums Tanzania Utawala wa JK,Baadhi ya Wanajeshi Tanzania kukosa mshahara wa mwezi July

    the first class citizen ni wanajesh,by the way wanajesh hajelalamika,wanajeshi ndio watumish wanao anza kulipwa posho,ninamaanisha hakuna nchi inaweza kumlipa mwanajeshi mshahara.for more.infor c
  14. G

    JamiiForums Tanzania hatari hatari hatari........kwa akina mama/akina dada

    ASILI!!what does it mean? Chakula,mavazi,imani ,uongozi na mwenendo mzima wa kimaisha ya kila siku is the only solution to our problem.ASILI IS THE ONLY AND TRUE GOD FOR US.GROLY BE TO OUR JESUS CHRIST.very sory for those from other side
Back
Top Bottom