Recent content by Gusi 01

  1. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Hahaha nikafikiri ni Mimi peke yangu ndo nakutana na adha hii No ndo nawaweza naweka hela M-PESA kisha nanunua kifurushi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ladbrokers najiungaje
  3. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu vipi namna ya kujiunga na hiyo lard
  4. Gusi 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo wanawake hawayapendi katika ngono?

    Huyo anae nusa mku.. ni kiboko au ni filauni nini atakuwa alikusamehe angekutatua marinda huyo[emoji41]
  5. Gusi 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo wanawake hawayapendi katika ngono?

    Ni mwendo wa amri kama mpo jeshini vile.[emoji3][emoji3]
  6. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Inastaajabisha kulazimisha kupongezwa

    Kwa sababu ipi nani kazungumzia uhamiaji hapo
  7. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Inastaajabisha kulazimisha kupongezwa

    Inafikrisha mkuu
  8. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Inastaajabisha kulazimisha kupongezwa

    Kuwajibika kwa watu unaopaswa kuwajibika kwao ni lazima na si hisani , na kupewa pongezi kwa uwajibikaji wako katika majukumu yako ni ihari ya mtoa pongezi.
  9. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinajengwa kwa gharama nafuu sana wahi hujachelewa

    nafanya kazi ndani ya Dar na Mikoani. nina fanya kazi na mafundi waaminifu
  10. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinajengwa kwa gharama nafuu sana wahi hujachelewa

    hoja zako safi na nikupongeze kwa umakini basically gharama za materials zinafahamika ila zinakuwa na utofauti mdogo mdogo unaosababishwa na vitu mbali mbali kiasi kwamba haviwezi kudhibitiwa na mkandarasi yeyote. Unafuu ambao anaweza kuupata client kutoka kwangu haswa ni kwenye labour charges...
  11. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinajengwa kwa gharama nafuu sana wahi hujachelewa

    lakini napatikana Dar es salaam (kinondoni -mkwajuni)
  12. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinajengwa kwa gharama nafuu sana wahi hujachelewa

    huwezi pata bei jumuishi kwa sababu mbali mbali za kiutaalam na kijiogorafia lakini nashauri kwanza kulingana na hizo sababu tajwa kisha natoa mapendekezo yenye kukupa unafuu. karibu mkuu
  13. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinajengwa kwa gharama nafuu sana wahi hujachelewa

    una wasi wasi na nini mkuu
  14. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinajengwa kwa gharama nafuu sana wahi hujachelewa

    Karibu tuwasiliane kupitia email (silasgura@gmail.com)
  15. Gusi 01

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinajengwa kwa gharama nafuu sana wahi hujachelewa

    Habari za leo wana jamii forum Naitwa Silas Magesa ni mtaalamu wa ujenzi (Civil engineering technician),nina uzoefu katika uwanda wa ujenzi takribani miaka minne. Lengo la kujitokeza hapa ni kuufahamisha umma kuwa kama kuna mtu au taasisi yenye uhitaji wa kufanya ujenzi,kuandawiliwa michoro...
Back
Top Bottom