Recent content by Gurugurumee

  1. Gurugurumee

    JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

    Siyo ngeu tu, watoane na meno.
  2. Gurugurumee

    JamiiForums Tanzania Magereza: Hakuna upendeleo katika huduma ya chakula kwa wafungwa na mahabusu

    Sasa hapo si ni kutekeleza swala la kiimani kitu ambacho unajua kabisa faida yake baina yako na mola wako, hata uwe shambani, kizimbani au msituni ukikata miti hakuna shida. Tofauti na kukaa na njaa ya makusudi ndg yangu. Mbona unalinganisha vitu viwili tofaui? Ndo maana kwenye funga...
  3. Gurugurumee

    JamiiForums Tanzania Magereza: Hakuna upendeleo katika huduma ya chakula kwa wafungwa na mahabusu

    Huwa wanasimama kizimbani wakihojiwa na mawakili wa serikali asbh mpka jioni kipindi cha mfungo?
  4. Gurugurumee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ATWOLI: Wanaume mlio na mwanamke mmoja 'Shenzi Zenu'

    Hahaha shenzi sana!!!!!! Huyu mzee tumbo tumbo vp tena?
  5. Gurugurumee

    JamiiForums Tanzania Kuoga ni dk15-20, Nyie mnaotumia dk1,2,3 kuoga, unaoga! Sasa unaoga nini?

    We jamaa dk 20 - 40 unaoga au unaganya utafiti wa uvuvi bafuni? Utakua unatafuta samaki bafuni wewe huogi. Au unatapika na utumbo unasafisha kwanza ndo umeze tena? Dk 3 zinatosha toka huko bafuni wewe!!!
  6. Gurugurumee

    JamiiForums Tanzania Mchange: Sisi tunajua Lissu alifanya makosa, ndio maana familia ya Lissu iko tayari kufanya maridhiano

    Du! kina Mchange ndo wenye kujua walio na makosa kuliko mahakama, ni lini na ni wapi familia ya Lissu imetaka maridhiano? Heche ana mamlaka gani juu ya familia na Lissu mwenyewe? Mchange asidhani watanzania ni watoto wake wakuwadanganya.
  7. Gurugurumee

    JamiiForums Tanzania City council kuhusu malipo ya kuungiza container mjini

    Na tuvimbe tupasuke nge ngee!!!!!!
  8. Gurugurumee

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma uwe unatumia akili, sio kutaka sifa zisizo na mashiko. Wewe umesoma na una PhD

    Kaka mkubwa ina maana kile kichwa cha Msukuma hamnamo kitu mule?
  9. Gurugurumee

    JamiiForums Tanzania Polisi wakamata basi (Kidia One Express) ya Kitanzania ikisafirisha bangi yenye thamani ya Tsh. 49 milioni kuelekea Nairobi kupitia Namanga

    Pole sana, unavuta bangi au unasafiri sana na Kidia kwenda Nairobi?
  10. Gurugurumee

    JamiiForums Tanzania Watekaji Wampuuza Simbachawene

    Mafwelesi
  11. Gurugurumee

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Tunaazimana hadi mafuta na wapinzani

    Samahani sana wakili
Back
Top Bottom