Recent content by Guru1902

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga SC: Hatujalipwa pesa yoyote ya ubingwa wa Shirikisho kwa misimu mitatu mfululizo

    Hesabu gani bro wakati wao wanapaswa kutoa risiti za malipo kama waliwalipa kweli hii biashara ya kishikaji ndo itawagharimu TFF
  2. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wametishika mno na vibe la kishindo la kuibuka kwa chauma kwenye medani za siasa za Tanzania, unadhani kwanini?

    Ata ACT ilikuwa hv hv wakapewa mpaka zanzibar kiko wap sasa
  3. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify

    Wanafunzi hawasomi wanatafuta uchawa
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kinyozi atupwa jela miaka 30 kwa kumpa mimba mwanafunzi

    Hv sheria haijasema swala la miaka kwa mwanafunzi maana dogo anamiaka 18 aliepewa mimba
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ubelgiji yasema jino la shujaa Lumumba wa DRC linapaswa kurudishwa

    Ubelgiji si ndo uku alikokuwa Tundu Lissu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Siasa zinazofanywa na Wakala wa Majengo(TBA) wa taifa hatina tija kwa taifa letu

    Ukisoma ripoti ya CAG kuanzia page 199 mpaka 203 anaeleze jinsi TBA inavyoingia hasara kila kukicha TBA Imekuwa n taasi pekee ya serikali yenye siasa nyingi kuliko kazi ukiangalia mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi wa bunju ambae CAG ameuita mradi wa hasara utaona ata waliohusika...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Peru, Alan Garcia amejiua kwa kujipiga risasi baada ya Polisi kufika nyumbani kwake kumkamata

    ila kwa nafasi yao kufanya makosa hakuepukiki kuna maamuzi mengine kama raisi inabidi ufanye dhambi ili mambo yaende(siongelei ufusadi)
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa TAKUKURU anayedaiwa kuwadhulumu wenzake viwanja, Kulthum Mansoor apandishwa Kizimbani na kusomewa mashtaka 8 ikiwemo utakatishaji fedha

    inaonekana kama raisi anapanbana mwenyewe na rushwa cz mpaka ata watu wa rushwa ndogo wanaogopa kwenda TAKUKURU wanampigia simu mkuu wa nchi bado shida ipo
  9. G

    JamiiForums Tanzania Rombo: Mwili wa Kijana Godwin Massawe wakutwa msituni ukiwa hautoi harufu. Wakutwa ukiwa na Rozari na Biblia

    inawezekana alichokikuta kwa mabraza ndo kilichompeleka msituni kufunga na kuomba
  10. G

    JamiiForums Tanzania Gari latelekezwa kwa zaidi ya miezi 6 katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B

    au jamaa kafwata china spea
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aujibu Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani, asema uchunguzi wa tukio lake haumhitaji yeye wala dereva wake

    hawatakiwi kuwepo sababu hawakuwepo wakati wa tukio alafu mnasema aombe msaada wa nchi uliyopo kwan ww ni mkimbizi si utarudi ukija watakuhoji na dereva wako atakuwa kapona matatizo yake na yeye watamuhoji
  12. G

    JamiiForums Tanzania Pastor Shepherd Bushiri, wife arrested for 'fraud & money laundering'

    ingekuwa wameshahukumiwa kuwa matapeli wasingeenda mahakamani
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WhatsApp kuwapunguzia wateja wake uwezo wa kuforward jumbe

    alafu ukisha screeshot utaenda kunywea chai au
Back
Top Bottom