Ukisoma ripoti ya CAG kuanzia page 199 mpaka 203 anaeleze jinsi TBA inavyoingia hasara kila kukicha
TBA Imekuwa n taasi pekee ya serikali yenye siasa nyingi kuliko kazi ukiangalia mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi wa bunju ambae CAG ameuita mradi wa hasara utaona ata waliohusika wamesababishia serikali na wakala kulipa deni mpaka leo ambapo TBA imeshindwa kabisa kuwahudumia wafanyakazi wake wanaofanya kazi za mikataba katika mikoa mbalimbali hapa nchini
TBA inachukua kazi kwa pesa ndogo sana kama wanavyojiita kuwa wanatoa huduma hawafanyi biashara lakini ukiangalia pesa hyo jinsi inavyokatwakatwa mpaka ije ifike kwa mkandarasi ambae n ofisi za mikao unakuta faida kubwa imebaki HQ mikoani huku inakuja ela ya kufanyia kazi wakati pia mameneja wa mikoa wamepewa jukumu la kuwalipa wafanyakazi wa mikataba matokea sasa VIJANA wanaofanya kazi za mikataba TBA wanaishi maisha ya shida sana
Nakumbuka wazee wa magomeni walimuuliza raisi kwann umemtoa CE wa TBA ukaenda kumpa ukatibu mkuu wizara ya ujenzi wakati huku kafanya madudu au alikuambia kuwa miradi imeisha
Sent using Jamii Forums mobile app