Recent content by Gumilapua

  1. Gumilapua

    Nilitumia miezi saba nikimtongoza,nimekuja kumpata nimeishia kimoja cha dakika mbili.

    Aliona ni kama nimemsumbua, nakumbuka alinambia "yaani kunisumbua kote kule kumbe ndio uko hivi?, wewe sio mwwanaume " Na akanambia angejua asingekubali kupoteza muda wake. Demu alikuwa ni mkali ila ni mhuni Fulani hivi. Naamini alitegemea bonge la show akaambulia kuonjeshwa Tu.
  2. Gumilapua

    Nilitumia miezi saba nikimtongoza,nimekuja kumpata nimeishia kimoja cha dakika mbili.

    Hiyo iliwahi kunitokea enzi za ujana, nilimfukuzia demu almost mwaka akawa anantolea mbavuni mpaka nikawa nimekata tamaa ya kumdinya. Ila nikaamua kubaki kumtania kila tukikutana na alikuwa anapenda jinsi navyomfukuzia. Kuna siku natoka job nimechoka mbaya muda ya saa 12:00 hivi jioni nikakutana...
  3. Gumilapua

    Held your head up high, you are the winners 🏆

    The semen released by a healthy man after intercourse with a woman contains 400 million sperms. So, logically, if that amount of sperm found its way into the uterus, 400 million babies would be born! While these 400 million sperm race like mad towards the mother's uterus, only 300 or 500 survive...
  4. Gumilapua

    Orodha ya Watu Hatari Wanaoweza Kulala na Mkeo

    Umemsahau mlaji mkubwa boss wake au mfanyakazi mwenzake!
  5. Gumilapua

    Wanawake mnajiamini sana

    Wanawake ni majasiri na sio waoga, anamkubalia mwanaume mwenye umri wa Baba yake na hata hajari ukubwa wa mashine atakayokutana nayo! Kama hiyo haitoshi anakubali kubeba mimba akijua fika siku ya kuzaa ni kufa na kupona. Ila haogopi👏👏
  6. Gumilapua

    Taja mikoa inayoongozwa na wabunge wasio wazawa, je ni ujinga au ukosefu wa watu walio competent? Naanza na Moro.

    Nadhani Dar es salaam ndio itakuwa inaongoza! Ila Kwa mtazamo wangu si lazima mbunge kuwa mzawa, mtu yeyote mwenye kalama ya uongozi na mwenye uwezo wa kusemea changamoto za watu anatosha kuwa mbunge
  7. Gumilapua

    Aliyeteuliwa kama mbadala wa mkuu wa majeshi ya Iran naye aliuwa, itangazeni hiyo nafasi upya

    Kwa jinsi ulivyo lofa na wewe unajiona kama ni myahudi vile😀😀😀 eti.. "saa hizi tungekuwa tushamla" matako ya bibi yako mzaa baba!!
  8. Gumilapua

    DOKEZO Viongozi mko wapi? Watoto wetu wanapigwa kama ng'ombe shule ya Sekondari Ibungiro

    Nenda katoe taarifa hii ya Kwa afisa elimu kama kuna any kind of injustice to the kids, hapa haitasaidia au itachukua muda hatua kuchukuliwa. Ni kweli adhabu inapaswa kutolewa lakini wanafunzi wasiwe sehemu ya watumishi (hasa waalimu) kuondolea stress zao!
  9. Gumilapua

    Njombe: Erasto Raphael kabupa mwenye miaka 50 afariki dunia akishiriki tendo na mke wa mtu baada kuzidiwa ghafla

    Kiongozi amefia kwenye utamu, yaani ameumaliza mwendo ki style sana, wakati wengine wakifa Kwa maumivu makubwa kwenye ajali au hospital bed jamaa Anaondoka na Ile kitu moyo unapenda yaani Raha ya bao!
  10. Gumilapua

    Mjane anatafuta mchumba atakayefunga nae Ndoa

    Moja wapo ya sababu za ndoa ni kutaka kupata watoto, sasa umri huo nadhani kipindi cha uzazi (reproductive age) imeshapita, Hivyo hata show itakuwa haina maana ni Sawa na kutwanga maji Tu!😁😁
  11. Gumilapua

    Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

    Ifike wakati nao TFF na bodi ya ligi waache kuendekeza hao wapumbavu. Hivi ingekuwa ni mtibwa sugar au mbeya city ndio inaleta huo ujinga ujinga mpaka Leo ingekuwa haijatoa mwamuzi?. Mimi ni Yanga lakini wanachofanya viongozi wetu siafiki hata kidogo. Hata tukipewa ubingwa Kwa point za mezani...
  12. Gumilapua

    Nashukuru Mungu amenisaidia nisiaibike Leo kwenye daladala

    Vijana mlioko kwenye balehe mna shida sana, yaani badala ya kuwaza mambo ya msingi kila mwanamke unaemwona unamuwazia uzinzi. Anyway kipindi hiki nacho kitapita, and you will one day start thinking positively about women you see!!
  13. Gumilapua

    Raha ya kuzaa na pisi kali, uhusiano unakuwa unadumu kutokana na mtoto

    Unaweza kukuta huyu nae ni graduate, ndio hapo Mimi huwa nashangaa hii elimu ya Tanzania. Sasa huyu aliwezaje kutoboa? Hivi elimu yetu haiwezi kuchuja idiots na intellectuals? Yaani unakuta Tu tumechanganyikana magreat thinkers na mastupids huwezi jua who is learned and who is not.😁😁
  14. Gumilapua

    Tumeachana lkn kila ninachokiweka kwenye status yangu whatsapp lazima anihoji.

    Sio chemistry zote huwa zinakuwa kwenye equilibrium, some chemistry may start changing from being constant to dynamic...
Back
Top Bottom