Unamfanyakazi wako , unaishi naye unamsema vibaya ,unampiga kama mbwa halafu anapika unakula chakula chake kweli ?? Huogopi ipo siku atakuua ataweka sumu kwenye chakula ufe wewe na familia yako .
Jingine unamuachia watoto akae nao hata yule mdogo .
Halafu ukirudi kelele kuanzia uje hadi ulale mnatisha sana . Sijui mnaroho gani hamna utu. Hata kidogo . Jaribuni kuweka ujinga pembeni . Mtakuja kupikiwa nakula nyama za watoto zenu. Mkizani nyama za kuku .
Mtakula vizuri nakushiba mkija kugutuka katoto kamoja hakapo ndio utajua . Kama wewe ni mama jaribuni kuishi na msichana wako kwa akili.
Usiku mwema nakaribisha povu kwa wamama wasiojilewa .