Mkuu ni hivi kuhusu suala la hao wanyama hususani tanga huko makorora wanaitwa mbuzi wa albadili yani aina fulani ya kisomo ambacho anasomewa mhusika wa jambo fulani hususani baya sasa unakuta kwamba mfugaji anapoteza kundi lake akikaa baada ya siku bila kuwaona huchukua uamuzi wa kusoma hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.