mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,173
Wana JF, kuna ufugaji wa aina yake hapa dar, kwa waliowai kukaa msasani kinondoni, mbezi samaki, tegeta machimbo na boko chama kuna mbuzi wanajichunga wenyewe hawali mazao ya watu, wakishiba uvuka barabara kama watu na kutafuta kivuli na kupumzika. mwenye dawa na mbuzi awa atuambie au kama ni mafunzo atueleze.