Mauaji ya dikteta yaliyoamsha matatizo (Gaddafi's fall to Libyans unrest)

Mauaji ya dikteta yaliyoamsha matatizo (Gaddafi's fall to Libyans unrest)

kweyamba_dave

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
961
Reaction score
484
there is nothing good than celebrating an anniversary.but if it's a remembrance of an event which lead to your fall that anniversary is worthless.ni miaka mitatu sasa tangu muammar gaddafi aondolewe madarakani kwa nguvu ya wazi kabisa toka kwa NATO na vijana waliopumbazwa na maneno ya magharibi.

"we want the free Libya" lilikuwa ni neno lililotawala midomo ya watu wengi ndani ya taifa hili kame lenye utajiri wa mafuta.wameupata uhuru walioutaka ila umegandana na jasho la sera mbovu pamoja na kuporomoka kwa living standards.

did NATO really intended to help? kama ni msaada leo wakati Libya iko kwenye hali mbaya kuliko wakati wa gaddafi Obama ameongea nini? kasema nini David Cameron? yuko wapi Nicholas sarkozy..........their aim was to destroy and they've made it.

he said "they want to take what we have that's all anything else said is a lie and deception" sasa walibya wanaona it was all lies and deceptions.
 
Wale NTC(National transtional council) combatants walikuwa vijana kutoka afghanistan na iraq

Salafist muslims walishirikiana na US kumpindua ghadaffi. So sad
 
Wale NTC(National transtional council) combatants walikuwa vijana kutoka afghanistan na iraq

Salafist muslims walishirikiana na US kumpindua ghadaffi. So sad

More than sad.USA ina mkono wa wazi kwenye mambo mengi sana katika dunia yetu kwa kuwa ni wenye nguvu.wananchi hawakujua lengo la NTC na ndio maana leo hii wanagoma uchaguzi kusogezwa mbele kwa mwaka mzima.walihitaji kula sasa wanakula
 
RIP colonel,lakini 40 yrs in power was a little bit too much
 
RIP colonel,lakini 40 yrs in power was a little bit too much

Not if he served his country by his whole heart.mataifa mengi ya ulaya yamekua kwa unyonyaji na udikteta uliopitiliza.Britain ilikuwa na mabourgersie na watumwa plus working class,France also,Germany grew after doing the same.

Walichotaka ni kuwa na mtu asiye na meno kwao.hawataki mtu anayeiangalia kesho ya third world countries.gaddafi aliangalia kuendelea kwa Africa kwa upana.nikikumbuka alichokisema New York 2009 nasikitika kumkosa mtu kama yeye
 
Mnamsifia sana colonel lakini ukweli na utajiri wa kupindukia wa Libya walikuwa Kama third world tuu,ukitaka kukua natural resource zinavyosaidia na kila mtu kufaidika angalia Norway oil or Alaska..Norway kila mtu millionaire kwa mgawo wake,colonel alitawala Kama Mali ya familia yake
 
Libya was the poorest country in 1951.miaka 60 na kadhaa tu toka leo.ukiwafuata wamagharibi(Westerns) wao watasema neno hilo he was full of egoism .mpaka 2000 Libya ilipiga hatua kuliko Tanzania na Kenya plus many other nations.living standard ya walibya ilikuwa good kuliko nchi yoyote ndani ya Africa plus many other nations like Brazil.what a transformation?

Nigeria wana mafuta mengi tu mbona hali yao iko hivi leo? Angola hawana mafuta? ikiwa walibya walikuwa na haki yakumburuza barabarani gaddafi,afanywe nini binti wa dos Santos mwanamke tajiri kuliko wote Africa.waangola na wamburuze dos Santos basi.
 
Back
Top Bottom