Recent content by Gulio Tanzania

  1. Gulio Tanzania

    Hizi ndoto Zina madhara makubwa, zichukulie kwa uzani mzito

    Usilale bila kufanya maombi jifunike kwa damu ya Yesu na nyumba unayoishi ifunike kwa damu ya Yesu hauta ota hizo ndoto Pia uwe unasoma zaburi 121 zaburi 91 isaya 54:17 efeso 6
  2. Gulio Tanzania

    GE2025 CCM Arusha kuchinja ng'ombe zaidi ya 100

    Kwamba hakuna Cha bure
  3. Gulio Tanzania

    Rest In Peace Katibu, umetuachia kumbukumbu

    Inasemekana manabii wengi wanatakiwa kutoa sadaka zenye maumivu ili kupata Mali na umaarufu
  4. Gulio Tanzania

    Rest In Peace Katibu, umetuachia kumbukumbu

    Nasikia yalikuwa makubaliano dogo akaanza kudai damu yake
  5. Gulio Tanzania

    Biblia ndio Chuo Pekee Duniani unachoweza kujifunza Upendo, Amani, Furaha na Uvumilivu

    Kitabu Cha Rich dad poor dady falsafa yote imetokana na kusoma neno utaona kuna mahali anamuandika baba tajiri alivyokuwa akitoka fungu la kumi huku baba masikini hakufanya hivyo
  6. Gulio Tanzania

    Wapi nitapata haya masweta

    Ukiagiza yanachukua muda gani kufika TANZANIA
  7. Gulio Tanzania

    Wapi nitapata haya masweta

    Zinapatikana hapo ?
  8. Gulio Tanzania

    Wapi nitapata haya masweta

    Ninahitaji haya masweta white plain wapi nitayapata dar
  9. Gulio Tanzania

    Nina msongo wa mawazo, maisha hayana maana kwangu, msaada wa mawazo

    Kuwa na saa moja la kuomba kila siku PEKEE yako
  10. Gulio Tanzania

    Polepole: Sikubaliani na mambo ya utekaji, dada yangu alitekwa wakamchapa sana makofi

    Ni kama vile habari za utejakaji zimeanza baada ya dad'a yake kutekwa
  11. Gulio Tanzania

    Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Vijana wengi hamsomi neno mnasoma VITABU vya watu ambao nao wakupata upeo baada ya kusoma neno
  12. Gulio Tanzania

    Kuna Siri gani mabosi wengi kutokutaka kukaa ofisi

    Na hichi Mimi nilikuwa nafikiria zaidi
  13. Gulio Tanzania

    Ni nani anayenufaika zaidi kwenye mahusiano?

    Panga pajeti ya kuhonga kwa mwezi ukiona mwanamke anazidisha BAJETI yako uliyo weka ondoka
Back
Top Bottom