Epuka kupigana na mkeo ili ushinde hoja ,jaribu kupata muda wa kusiliza hoja zake kisha mwambie akupe muda wa kufikiria na kesho mkiwa mmetulia mpe jibu kwa nini unaona wewe uko sahihi,baada ya kipigo na polisi hamwez
somo la lishe bora ni changamoto hata sasa ndio maana washauri wanaibuka kila siku inanikumbusha ule wimbo maarufu zamani wa mbaraka mwinshehe (Mama chakula bora)
"Kabla ya mtu kuoa ni lazima afikiri kwanza atamwoa nani. Je. atamwoa kwa sababu ni mzuri wa sura au umbo na kumbe tabia si njema? Au atamwoa kwa sababu ni mwanamke wa nyumba kubwa? Basi Mtume wetu Muhammad s.a.w. ametoa mwongozo akasema:- “Mwanamke anaolewa kwa mambo manne: (1) kwa sababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.