1.DINO GAUCHO 2.AGREY MWANRI hii ntaiweka maliwatoni room cause huko ndo nakosukumiaga mavituzi ndani 3.KAPICHA KA MAMA SA100 nakaweka kule nakolala kabsa maana kwa tule tumacho twake ntakua nalala vzur
njaa mbaya watu wanang'oa bange shambani ikiwa haijakomaa.bange iliokomaa hata mbegu ukiwa unachambua ukizishka ni ngumu hta ukiibinya haipasuki lakn feki znapasuka.bange hata nta haina
nmeanza rasmi kuvuta bange mwaka 2008.na haya ndo nliyojifunza kuhusu bange.1.bange ni dawa ya usingizi kwa ufupi ukivuta unalala vizuri.2.huongeza hamu ya kula namaanisha kama uwezo wako ni kula sahani moja ukivu utakula sahani mbili na kuendelea.3.pain killer nlikua naumwa sikio maumivu ya...
awe mama wa kambo mkubwa au mdogo mi nasokomeza tu.kwani nna undugu nae.akikaa vbaya kaisha hata mshua akiwa hai cause nkmaliza nyoka wangu naondoka nae
KUTWANGA MPUNGA KWA KINU DADEKI PLUS MAHINDI YA KANDE ILKUA MAJALALA KWANGU.NMEKUMBKA KUAMSHWA SAA KUMI NA MOJA ASB KWENDA SHAMBA KWA MGUU UMBALI WA KM 2 NA USHEE
Maeneo ya kawe choo kimejaa mama mwenye nyumba anataka wapangaji tuchangshane kuzibua kisa yeye hakai pale na tunaojaza choo ni wapangaj.dadekii nligoma kwan vepe mm nyumba natembea nayo kwa wallet yang ntapanga sehemu ingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.