Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

Nawatafuta marafiki zangu wa kike niliosoma nao shule ya Vidudu Sengerema kwenye mwaka 90/91. Wakwanza anaitwa Nyamisana na wa pili anaitwa Feruzi.
Huyu Nyamisana sura yake haijanitoka bado kwa vile alivyokuwa mzuri. Alikuwa na matuyuyu (dimples), basi muda wote akicheka, mashavu yalikuwa yanabonyea. 💃
Huyu Feruzi alikuwa na maneno mengi. She was a kind of girl who would never run out of things to say.
Alikuwa binti mwenye story mingi sana. Kila siku alikuwa akinipa story mpya!

Pia mshikaji wangu anayeitwa Cleofas Bukta naye tulisoma wote Nursery ya Misheni kule karibu na kanisa la Roman au Rambo la mzungu.
 
Nawatafuta Kesibe Elias, Ahazi Mwakatobe, Kibosi Joachim, Kemilembe Kamugisha, Fabian Mlozi, Maria Samson Tikiti, Tusekile Anangisye, Lilian Ndomba, Good Tarimo, Nolasco Mkole, Alfa Ntayomba, Gena Jabiri, Maria Samson, Hamisi Selemani Lieme, Kamote Bakari, Paul Mwanda, Iluminata Constantine, Hawa Noor na wengine wanaonifahamu. Napatikana kwa E-mail hmisayo6@gmail.com
Namtafuta, Mwanaheri Mohamed mara ya mwisho tulikuwa wote, chabruma kambini mwaka 2011 toka hapo sijamuona tena.

Pia namtafuta Mohamed Sume mara ya mwisho tuliachana Keko_machungwa mwaka 2016 ,washikaji nawakumbuka sana ndugu be back.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
namtafuta wa kipenzi changu wa zamani ,anaitwa Alice Daudi,huyu alipaswa kuwa wife wangu,sema tukapotezana miaka ya 2002 ,alikuwa ana school enzi hizo pale kondoa girls.
Itakua alikuwa pisi kwelikweli.....nilienda kondoa girls mwaka huu mwanzoni....kuna mitoto ya kirangi pale...mikali hatari
 
Nawatafuta Kesibe Elias, Ahazi Mwakatobe, Kibosi Joachim, Kemilembe Kamugisha, Fabian Mlozi, Maria Samson Tikiti, Tusekile Anangisye, Lilian Ndomba, Good Tarimo, Nolasco Mkole, Alfa Ntayomba, Gena Jabiri, Maria Samson, Hamisi Selemani Lieme, Kamote Bakari, Paul Mwanda, Iluminata Constantine, Hawa Noor na wengine wanaonifahamu. Napatikana kwa E-mail hmisayo6@gmail.com
Namtafuta binti mzuri mwenye akili sana....anaitwa MAGDALENA MAYANKA CHAMI. Mara ya mwisho tukikutana HOLY FAMILY GIRLS SEC SCHOOL..MWANZA. pia namtafuta rafiki yangu bright sana anaitwa LADISLAUS MARK BARAKA. Napatikana kwa 0657828336.....email. Larrybarrice@gmail.com
 
Namtafuta huyu dada; Mary Emmanuel Chande, nilipotezana naye miaka ya 1998 baada ya kumaliza darasa la 7 ARUSHA SCHOOL, yeye akiwa bado yupo darasa la tano, kwao ilikuwa ni maeneo ya Kijenge Kanisani lakini nilikuja sikia walishaondoka hapo na kuhamia Nairobi. Tafadhali kama kuna anayemfahamu naomba afikishe ujumbe huu kwake au anitafute kwa Email hii makafu77@yahoo.com
 
Daaaa nakutafuta sana Agnetha Pambe...Rafiki tulikutana kwa Bus akitokea Tanga kwenda Arusha...kwa Safari ya Mwanza 2008.Aliniambia Kwao ni Nyakato /Buzuruga,Mwanza.Alitoka kusoma Ualimu Mkoani Tanga ...Kumbukumbu yako imekuwa ngumu kupotea.
 
Back
Top Bottom